joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Wacha huu upuuzi wa kuanza kuzungumza maisha binafsi ya watu hapa, tafuta forum za udaku hapa sio mahala pake, "don't be so low like this please"mara sio dennis okare, mara sio hassan joho, mara sasa ni nick..
hii kitu hii............. hii.! ....... hii.!!!
View attachment 2168760
Wacha huu upuuzi wa kuanza kuzungumza maisha binafsi ya watu hapa, tafuta forum za udaku hapa sio mahala pake, "don't be so low like this please"
Asante kwa pongezi. Wewe Mtanzania kuipongeza Kenya kutafanya Watanzania wenzako wakuchukie. Kila Mtanzania humu anastahili kuikashifu na kuichukia Kenya na anayekiuka sheria hio anapigwa vita vikali. Angalau wewe umefika Kenya na umejionea kwa macho yako maendeleo ya huku.Hii imebadilisha sn mji wa Nairobi,nilikuwa hapo wiki iliyopita nikashuhudia Kwa macho yangu .Hongera majirani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Somalia wachana nayo kabisa bro. Nyie hamuwafahamu vizuri kwa maana wao sio majirani wenu. Kamwe Somalia haitaingia EAC wacha nikuhakikishie leo. Na ikiingia Kenya inatoka. Kenya haitaishi ndani ya nyumba moja na Somalia. Mark my words.Bado Ethiopia na Somalia.
Hivi inakuaje British walijitoa EU wakati Mataifa mengine yanapenda kuwa pamoja?
Eti Nigeria ina 4th most powerful military in Africa na ujinga kama huu unafanyika huko?majamaa wamevamia train ya nigeria.. abuja-kaduna
and she died
leta evidence!Heeeeheeee
Kenya is the biggest producer and biggest consumer of milk in Africa. Usilazimishe tufanane. Endeleeni kuproduce Tanzanite sisi Wakenya ndio tunazibroke na kuuza kwa Wachina, Wahindi, Waarabu na wazungu.🤣🤣🤣
Tajiri hawezi kujinunulia kitu hata kidogo bila mkopo sasa kuna tajiri hapo au tajiri uchwara tuuSifa mbaya sana GDP halafu hamna chakula. Eti tajiri anakufa na njaa
Why are you shooting yourself on the foot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]most definitely nairobi..!
as in, nbi is so much expansive so much so that u cannot fit it in one single page.!, whereas dar cbd is a one-unit-pact kind of a city
cc: ichoboy01
NB: COMPARING DAR AND NBI, ON A LEVEL PLAYING GROUND, WITHOUT ANY BIAS ON EITHER SIDE [emoji1427][emoji1427]
darView attachment 2168676View attachment 2168674View attachment 2168679
vs
nbiView attachment 2168675View attachment 2168746View attachment 2168681View attachment 2168677
Hii vita ni ya kimkakati zaidi.Ukrain imekuwa mavumbi na magofu lakini hao hao NATO wapo.Let us wait and see what will happen.and so u think Nato will stomach this.!!? [emoji848]
Mbona hawatuhusu [emoji848][emoji848]mara sio dennis okare, mara sio hassan joho, mara sasa ni nick..
hii kitu hii............. hii.! ....... hii.!!!
View attachment 2168760
Ndiyo nimeshangaa kujipiga own goal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Why are you shooting yourself on the foot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nashangaa kwa ujinga huu. Siyo hiyo tu boko haram nayo inawasumbua sana huko kwao. Nchi yenye strong military lazima iwe na stable security.Eti Nigeria ina 4th most powerful military in Africa na ujinga kama huu unafanyika huko?
hakuna tofaut na kenya na wao hali ni hio hioYani ni ujinga uliopitiliza aisee kama treni linawezwa kutekwa sembuse basi la kawaidaa au private car daah uko nigeria aisee hakufai
Ss ndio muelewe kwnn huwa tunazikataa ranking za kipumbavu kama hizo, hawa wazungu ni wajinga sana, huwa wanazi favour nchi ambazo zinawaruhusu wafanye wanavyotaka. Ss wanaweka jeshi la nchi kama Kenya au Nigeria mbele ya jeshi la Tz kwa kigezo kipi? Hizo nchi zina machafuko kila siku kutokana na udhaifu wa majeshi yao lkn utaambiwa wanajeshi imara kivipi? Ila kwa kuwa serikali ya ss imewakumbatia ngoja uone report zijazo.Eti Nigeria ina 4th most powerful military in Africa na ujinga kama huu unafanyika huko?
Road ina rust and dust, typical jua kali road.
Mdogo mdogo wataelewa tu mkuu.Ss ndio muelewe kwnn huwa tunazikataa ranking za kipumbavu kama hizo, hawa wazungu ni wajinga sana, huwa wanazi favour nchi ambazo zinawaruhusu wafanye wanavyotaka. Ss wanaweka jeshi la nchi kama Kenya au Nigeria mbele ya jeshi la Tz kwa kigezo kipi? Hizo nchi zina machafuko kila siku kutokana na udhaifu wa majeshi yao lkn utaambiwa wanajeshi imara kivipi? Ila kwa kuwa serikali ya ss imewakumbatia ngoja uone report zijazo.