Yaani kiduku target yake Marekani tu. Dah jamaa wanaweza sema bora hayati baba yake
Alafu hii nchi kubwa kuliko utopolo lenu kenyaThat bulldozer is irrelevant to the point I'm trying to prove. Si mnasema you can access all parts of Tanzania via tarmacked roads? Where do you see tarmac on that photo?



......sisi tusambaza maendeleo kila mahali........Ndio tuna access kila kona ya tz .kunguni wewe ..That bulldozer is irrelevant to the point I'm trying to prove. Si mnasema you can access all parts of Tanzania via tarmacked roads? Where do you see tarmac on that photo?



..




Wapuuzi



hao wangekuwa wachawi wangemzuia mwamba PUT IN asiwaharasi toka kabla ya vita .........yaani nchi ishavurugwa na mabom cha chini kikaja juu na chajuu kika ingia chini afu afu hao washamba wanakuja na ...ujinga ujinga sijui eti tumroge MWAMBA PUT IN ....KUNGUNI HAWAProve if this is Lodwar.
Prove if this is Lodwar.
Data za 217
Kwamba road kama hizo tz hakuna ati bwana ojuwang ....Turbi - Moyale road in Moyale County, northern Kenya View attachment 2164000
Isiolo - Marsabit road, Marsabit County in northern Kenya View attachment 2164004
More roads in northern Kenya
View attachment 2164007View attachment 2164009View attachment 2164008
Sorry,,,, I forgot to mention that Moyale, Marsabit and Isiolo are all in Nairobi!



....afu kumbuka TZ ni kubwa mara mbili ya utopolo kunyaland .....so usilinganishe blah blahh ....sijui ujinga wa kibera na The giant TZ....


Mwamba hanaga


story na na mtu ....yeye akilala usiku akaota anafyetua manati ....akiamka asubuhi sasa ...dujia nzima inasimama ...Wewe ni kichaa, onyesha tarehe na mwaka wa hiyo article na ulinganishe na hii Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EACKenya is the biggest exporter in East Africa. Shida yako huwa unaongea bila evidence.
This is Kenya exporting $1.4B to East African countries while Tz export is at $811M
View attachment 2164010
View attachment 2164012
Na huo ukubwa wa nchi yenu bado Kenya has three times the number of paved.Alafu hii nchi kubwa kuliko utopolo lenu kenya......sisi tusambaza maendeleo kila mahali........
Kusoma ndio Hujui ama? 2020 inapatikana aje Kwa data za 2017😂😂😂, is your head really helping you?Data za 217
Si ni wewe ulisema Kenya hakuna maendeleo kama hizo nje ya Nairobi? Sasa mbona unatoa uharo ewe kilaza? Na hapo nimekuonyesha tu baadhi ya sehemu za northern Kenya ambapo sisiemu imewaaminisha hakuna barabaraKwamba road kama hizo tz hakuna ati bwana ojuwang ........afu kumbuka TZ ni kubwa mara mbili ya utopolo kunyaland .....so usilinganishe blah blahh ....sijui ujinga wa kibera na The giant TZ....
![]()
Wewe hakuna kitu unajua, kazi ni kupiga tu kelele hapa.Wewe ni kichaa, onyesha tarehe na mwaka wa hiyo article na ulinganishe na hii Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tumia akili kidogo, Kama Kati ya Tanzania na Kenya, Tanzania ndiyo inayouza bidhaa nyingi kuliko Kenya, Tanzania inauza bidhaa nyingi Uganda kuizidi Kenya, iweje Kenya izidi Tanzania katika total exports?, taja no nchi gani hapa East Africa ambayo Kenya inauza bidhaa nyingi kuizidi Tanzania
dyfre
Utaendelea kulia lakini ukweli utabaki tu pale pale.Wewe ni kichaa, onyesha tarehe na mwaka wa hiyo article na ulinganishe na hii Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tumia akili kidogo, Kama Kati ya Tanzania na Kenya, Tanzania ndiyo inayouza bidhaa nyingi kuliko Kenya, Tanzania inauza bidhaa nyingi Uganda kuizidi Kenya, iweje Kenya izidi Tanzania katika total exports?, taja no nchi gani hapa East Africa ambayo Kenya inauza bidhaa nyingi kuizidi Tanzania
dyfre
Umeshangaa na kupagawa eti? 😂 😂 😂 Yani huamini macho yako kwamba hapo ni Lodwar ambapo mumeanishwa hakuna maendeleo kama hizo. Hivi, hujaona hata neno 'Lodwar' limeandikwa ndani ya hizo picha za barabara? Ama ndio kujifanya kipofu?Prove if this is Lodwar.