Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
And Kenya has ten times the number of people dying if hunger every yearNa huo ukubwa wa nchi yenu bado Kenya has three times the number of paved.



Hahahaha, umeficha tarehe ya hiyo article ya juu sio?Wewe hakuna kitu unajua, kazi ni kupiga tu kelele hapa.
View attachment 2164271
View attachment 2164272


, Kenya haiwezi kupambana na Tanzania, tumewazidi katika kila kitu
Bado tuko hapa bana, unakimbia unaenda wapi?😂😂And Kenya has ten times the number of people dying if hunger every year![]()
Hahahaha, Kenya hamuwezi kushindana na Tanzania labda kwenye ukabila na njaaUtaendelea kulia lakini ukweli utabaki tu pale pale.
![]()
Kenyan exports to bloc rise by $160m
These accounted for 64pc of country’s total exports; Uganda was the largest export destinationwww.theeastafrican.co.ke
View attachment 2164282
View attachment 2164283


Tarehe gani imefichwa? Ama unajifanya kipofu juu your lies had been exposed?😂😂😂👇👇👇Hahahaha, umeficha tarehe ya hiyo article ya juu sio?, Kenya haiwezi kupambana na Tanzania, tumewazidi katika kila kitu
![]()
Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tanzania capped an eight-month surge in exports to Uganda during June, replacing Kenya as Uganda’s biggest source of imports within the East African Community (EAC), according to data from Bank...www.thecitizen.co.tz
Yeah, hatuezishindana na mdogo wetu. That's like downgrading ourselves 😂😂👇👇👇Hahahaha, Kenya hamuwezi kushindana na Tanzania labda kwenye ukabila na njaa
![]()
Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest imports source in EAC
Tanzania capped an eight-month surge in exports to Uganda during June, replacing Kenya as Uganda’s biggest source of imports within the East African Community (EAC), according to data from Bank...www.thecitizen.co.tz
Tanzania the Africa's technology benchmark
🤣🤣🤣Tanzania and technology in one sentence!!! technology mko nayo ni uchawi na kujifukiza na kitungu sahumu yenye imechanganywa na albino
Unaelewa tofauti ya national roads na regional roads. Utasemaje 93 % of Tanzanian roads hazina lami?Kusoma ndio Hujui ama? 2020 inapatikana aje Kwa data za 2017😂😂😂, is your head really helping you?
View attachment 2164268
Waambie Turkana has an ICT school, something which I doubt if is even available outside Dar if not the whole Tanzania.Umeshangaa na kupagawa eti? 😂 😂 😂 Yani huamini macho yako kwamba hapo ni Lodwar ambapo mumeanishwa hakuna maendeleo kama hizo. Hivi, hujaona hata neno 'Lodwar' limeandikwa ndani ya hizo picha za barabara? Ama ndio kujifanya kipofu?
Kama hujaamini hizo natumai utaamini hizi angalau. Ndio hii hiyo barabara ya Lodwar ikikatiza ndani ya Lodwar town.
View attachment 2164289View attachment 2164290View attachment 2164291
Yani Lodwar inang'aa usiku kushinda Dar na bad mko hapa na kelele zenu za vijiweni
Hahahaha, Kenya hamuwezi kushindana na Tanzania labda kwenye ukabila na njaa + uchafu/uvundoHahahaha, Kenya hamuwezi kushindana na Tanzania labda kwenye ukabila na njaa
yaani hana maneno na mtu yeye ni vitendo tuMwamba hanagastory na na mtu ....yeye akilala usiku akaota anafyetua manati ....akiamka asubuhi sasa ...dujia nzima inasimama ...
Hapa hakuna battle my brother. Ni kuwafurahisha tuOur roads ziko na enough shoulders plus three Layers,
Huko kwingine Ni kilayer kimoja kimono!! without shoulder and enough Bitumen (kuparara)!!!
Huko Ukraine hasa Odessa Kuna uchawi na wachawi sana tu. But ndio hivyo..
Huna lolote wewe nyang'au.Because imeandikwa hazina lami😂😂😂.
Nataka uoneshe maala watu wanaishi na co road pekee kwani watu wa Lodwar na Northern Kenya wanaishi barabarani?This road starts in Kitale and ends in Lokichogio and was completed last year. Shida yako iko wapi bongolala even if it was completed this morning?