Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

meanwhile wenzetu majiran wasiojua mpira wamepigwa ban na FIFA kushiriki mashindano yoyote ya FIFA na CAF
IMG_5176.jpg
 
Hata muweke filter aje, hizo dreamhouses zenu tunajua vile ziko, alafu hakuna tarmac roads ní vumbi tu
sasa umepanic huoni paved roads hzo 🤣🤣 au nazo filter huoni nyumba za gorofa humo au pia ni makeup au mumezoa kua nairobi kuna slum basi dunia nzima inayo
 
Watanzania huwa mnajifanya kwamba mna wanamuziki wakali kumbe wapi. Huyu hapa ni Davodo kajaza ile 02 Arena ya London hadi pomoni.
ogopa sana ,unapotumia lugha yako ya taifa kwenye music na ukapata nafasi ya kusikilizwa na kuheshimika kwenye industry,,tuna tone yetu mambo mengine yatafuata,tatizo la wasanii wa bongo wengi hawapendani wanaishi kimatabaka tofauti na wenzetu nigeria wanapeana sana support

utu king kiba

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
sasa umepanic huoni paved roads hzo 🤣🤣 au nazo filter huoni nyumba za gorofa humo au pia ni makeup au mumezoa kua nairobi kuna slum basi dunia nzima inayo

This is how dar looks like, grow some balls and get it over with... And regardless if there are slums in Nairobi or not, has nothing to do with the situation down there..

And hey, do i really have to crop it for you to see?
IMG_20220323_224402_376 (1)_1.jpg

images (53).jpeg
 
Mtanzania akiona bidhaa ya Kenya kwenye shelves za Tanzania, no issue

Mkenya akiona bidhaa za Tanzania kwenye shelves za Kenya, big issue

Halafu Wakunya wote humu ndani wanapiga mayowe kwamba Watanzania tunawawaza?

Mkunya mmoja aniletee scenario like this from a Tanzanian

Eti tunawaonea wivu, yupi sasa hapa anamuonea wivu mwenzake?

FOjgECVXwAcppgb.jpeg
 
View attachment 2162298
Pesa itayotumika kujenga modern electric railways kutoka Tanzania kwenda Burundi, DRC na Rwanda kwa pamoja ni kidogo compared na pesa iliotumika kujenga medieval mtambo wa komoni kutoka Mombasa to Nairobi!

Yet wanajiita wasomi! SMDH 🚮🚮🚮
 
Mtanzania akiona bidhaa ya Kenya kwenye shelves za Tanzania, no issue

Mkenya akiona bidhaa za Tanzania kwenye shelves za Kenya, big issue

Halafu Wakunya wote humu ndani wanapiga mayowe kwamba Watanzania tunawawaza?

Mkunya mmoja aniletee scenario like this from a Tanzanian

Eti tunawaonea wivu, yupi sasa hapa anamuonea wivu mwenzake?

View attachment 2162315
Kenya Wana roho mbaya Sana, ukiwazidi kibiashara lazima wataanzisha fujo, wamezuia maziwa ya Loto, sukari, na mayai toka Uganda kwa sababu hizohizo
 
sababu bidhaa za kibongo ni finyu ukizilinganisha na za kenyaland
 
Taja bidhaa 5 ambazo Kenya inauzia Tanzania, hizi hapa bidhaa za Tanzania tunauza Kenya
1) Leather products
2)Energy drinks
3)Whines and Spirits
4) Electric transforms
5)White dent(tooth paste)
6)Cotton and textile products
7)Vegetable and cooking oils
8)Wood products
9)Fruits and onions
10)Konyagi & K-Vant
 
sababu bidhaa za kibongo ni finyu ukizilinganisha na za kenyaland
sababu bidhaa za kibongo ni finyu ukizilinganisha na za kenyaland
Sio suala la wingi wala uchache wa bidhaa na hata hivyo bado Tanzania inauza bidhaa nyingi na za thamani kubwa Kenya kuliko Kenya kwa Tanzania

Issue hapa ni namna wakenya huonesha chuki na kwanini wanapoona bidhaa kutoka Tanzania inatumika Kenya

Hii sio case ya kwanza Wakunya kuraise lame nationalistic debate kwanini bidhaa za Tanzania zitumike kunyaland,

Nakumbuka hata kwenye uzinduzi wa SGR yenu kulikua na tiff debate kwanini t-shirt za uzinduzi zimetoka Tanzania

Nakuuliza sasa wewe kinara wa kudai Watanzania tunaiwaza kunyaland, hapa ni yupi mwenye chuki na wivu baina ya Tanzania na kunyaland?

If you stop having emotional reactions to everything you read on twitter, you'll have better sleeps at night.
 
Mtanzania akiona bidhaa ya Kenya kwenye shelves za Tanzania, no issue

Mkenya akiona bidhaa za Tanzania kwenye shelves za Kenya, big issue

Halafu Wakunya wote humu ndani wanapiga mayowe kwamba Watanzania tunawawaza?

Mkunya mmoja aniletee scenario like this from a Tanzanian

Eti tunawaonea wivu, yupi sasa hapa anamuonea wivu mwenzake?

View attachment 2162315
wakenya ni wapuuzi sana inapotokea masuala ya kiushindani wa bidhaa kimasoko na Tz wakenya huwa ni waoga sana,,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kenya Wana roho mbaya Sana, ukiwazidi kibiashara lazima wataanzisha fujo, wamezuia maziwa ya Loto, sukari, na mayai toka Uganda kwa sababu hizohizo
Wameanza kuzoea mana hakuna namna wanaweza kuepuka bidhaa za Tz cz ni cheap na zenye quality kuliko bidhaa zao low quality na zinazouzwa at exorbitant price. Unajua ktk biashara ukitaka ku win basi uza cheap ukizingatia unaowauzia population kubwa ni maskini kama Wakenya wengi.
 
Kenya Wana roho mbaya Sana, ukiwazidi kibiashara lazima wataanzisha fujo, wamezuia maziwa ya Loto, sukari, na mayai toka Uganda kwa sababu hizohizo
Halafu roho mbaya zao wanapakazia wengine, wapo inferior sana, wao ni vinara kusema Watanzania tuna chuki na wivu na wao lakini baada ya second 1 wanapost namna companies zao zilivyoshika uchumi wa Tanzania (laughable) huku kukiwa hakuna companies zozote za Tanzania kunyaland

Sasa unaweza kuwa na chuki na wivu na adui yako yet unamuacha aneemeke kwenye nchi yako?
 
wakenya ni wapuuzi sana inapotokea masuala ya kiushindani wa bidhaa kimasoko na Tz wakenya huwa ni waoga sana,,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Umaskini unaotisha wa wakunya unafanya wawe watu wenye roho mbaya wakidhani umaskini wao unasababishwa na wageni kumbe ni elimu yao mbovu inayotengeneza viongozi waroho na wasio na uzalendo kwa nchi yao.
 
Back
Top Bottom