Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Sioni sababu ya kuzuia pikipiki.
Hapa utakuwa umemaanisha maziwa ya Lato mkuu, nilianza kufikiria wanacheza loto ya maziwa, dairy industry Kunyaland inge-collapse!Kenya Wana roho mbaya Sana, ukiwazidi kibiashara lazima wataanzisha fujo, wamezuia maziwa ya Loto, sukari, na mayai toka Uganda kwa sababu hizohizo
Eti konza city ndio unatumia cement nyingi 😂😂😂😂Msikieni cartoon [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheheeee hii picha imejibu maswali mengi kwa wakati mmoja, asante sana na nishai save [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti konza city ndio unatumia cement nyingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Konza city ndio nini kwanza?
View attachment 2162625
Hicho ni kiboko cha kuwachapia Wakunya 😂😂😂Heheheheeee hii picha imejibu maswali mengi kwa wakati mmoja, asante sana na nishai save [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 kiduku kainua tena chuma
pikipiki ni inziSioni sababu ya kuzuia pikipiki.
Bidhaa za Tanzania zitaendelea kuwa cheap tuu huko kwa mpaka wakome wao waendelee ku manage shilling tuu kwaajili ya mikopo tutaona matunda yake baadae.Miaka ya nyuma walilisha sana watu matango pori kuwa bidhaa zao ni bora kuliko za Tanzania ila nashukuru sasa hivi hayo matango pori hayafanyi kazi tena. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi ni wao ndo wanasema bidhaa za Tanzania ni bora kuliko zao.
Mtanzania akiona bidhaa ya Kenya kwenye shelves za Tanzania, no issue
Mkenya akiona bidhaa za Tanzania kwenye shelves za Kenya, big issue
Halafu Wakunya wote humu ndani wanapiga mayowe kwamba Watanzania tunawawaza?
Mkunya mmoja aniletee scenario like this from a Tanzanian
Eti tunawaonea wivu, yupi sasa hapa anamuonea wivu mwenzake?
View attachment 2162315
Tiles, cereals, electric poles, paper products etcTaja bidhaa 5 ambazo Kenya inauzia Tanzania, hizi hapa bidhaa za Tanzania tunauza Kenya
1) Leather products
2)Energy drinks
3)Whines and Spirits
4) Electric transforms
5)White dent(tooth paste)
6)Cotton and textile products
7)Vegetable and cooking oils
8)Wood products
9)Fruits and onions
10)Konyagi & K-Vant
Idiot, kunyans are nothing before the Tanzania's law enforcement officersKwanza kabisa, hio tweet haimaanishi huyo mtu ako na issue nayo. ( the statement is an acknowledgement of his observation) hajapendekeza wala kukataa ila amekuwa neutral na akauliza "what do you say"
Ni vizuri sana kuelewa kwanza..
Secondly, I see Tanzanian products like azam energy drink on the supermarkets and konyangi in alcohol shops and no one is complaining,in fact kenyans buy. unafikiria zingekuwa kwa shelves if kenyans were biased?
Thirdly, it's you guys that actually have issues,like you are bitter about Kenya in some way, you dare confiscate cows from Kenyan herders, Let alone you still haven't made an official apology or condemn the unnecessary and shameful act of burning 6400 chicks from Kenya and you have the guts to talk about Kenyans have an issue blah blah blah
View attachment 2162734
pikipiki ni inzi
And you still wonder why Kenyans don't associate themselves with tanzanian products?? 🤣🤣 So naiveIdiot, kunyans are nothing before the Tanzania's law enforcement officers
Who are you to be treated with golden gloves?
We have been doing that in magnitudes and they are not talking, who the fuc is kunyaland?
Halafu usilete mambo ya kuvunja sheria na biashara iliopo kisheria.
View attachment 2162807
View attachment 2162808
Kwanini Rwanda, Uganda, Malawi, Zambia, SA etc tuliotaifisha ng'ombe zao na kuchoma vifaranga wao wasilie kama ninyi? Tena tulitaifisha ng'ombe zaidi ya 10k za Uganda na bado wakatupa their oil pipelineAnd you still wonder why Kenyans don't associate themselves with tanzanian products?? 🤣🤣 So naiveView attachment 2162830View attachment 2162830
tanzania does not produce high-end and technological engineering products. toeni ata moja tuone..
East African Cables kwa mfano ni baadhi ya kampuni moja tajika inayo tengeneza nyaya ya stima, na inayo enezwa bara lote la africa
View attachment 2162829