Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya ni wapuuzi sana inapotokea masuala ya kiushindani wa bidhaa kimasoko na Tz wakenya huwa ni waoga sana,,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wana inferiority syndrome, wasipozungumzwa na Watanzania wanaona maisha hayapo, kunyaland ipo desperate sana na Tanzania, laiti hizo t-shirts na mifuko ingeandikwa made in UK usingesikia chochote kutoka kwa yeyote, shida inakuja kwa why Tanzania?
 
Wameanza kuzoea mana hakuna namna wanaweza kuepuka bidhaa za Tz cz ni cheap na zenye quality kuliko bidhaa zao low quality na zinazouzwa at exorbitant price. Unajua ktk biashara ukitaka ku win basi uza cheap ukizingatia unaowauzia population kubwa ni maskini kama Wakenya wengi.

Miaka ya nyuma walilisha sana watu matango pori kuwa bidhaa zao ni bora kuliko za Tanzania ila nashukuru sasa hivi hayo matango pori hayafanyi kazi tena.

Sasa hivi ni wao ndo wanasema bidhaa za Tanzania ni bora kuliko zao.
 
This is how dar looks like, grow some balls and get it over with... And regardless if there are slums in Nairobi or not, has nothing to do with the situation down there..


And hey, do i really have to crop it for you to see?View attachment 2162310

View attachment 2162309
tatizo lako umepanic mapema sana mbona sehemu za paved hujaonesha 😂😂😂 yani mzungu aweke satellite juu asione slum dar ila aone slum za dunia nzima serious

na najua ushajua sasa slum hakuna na hio picha ya pili naomba zoom plz 🤣🤣🤣
 
This is how dar looks like, grow some balls and get it over with... And regardless if there are slums in Nairobi or not, has nothing to do with the situation down there..


And hey, do i really have to crop it for you to see?View attachment 2162310

View attachment 2162309
tuoneshe slum sasa tatizo lenu nyinyi hamutaki kuzoom 😂😂😂 munalazmisha tuwe na uharo kama wenu wakati hatuna
 
Wakati cement production in Tanzania is 6M and consumption is merely 5M, Kenya is producing 7.5M and consuming 7.3M.

14126394_cement_jpg2858857d473734f1fccd09bad394a387.jpg
 
The largest Airport in Russia, Sheremetyevo Airport near Moscow has sent 40% of its staff – around 7,000 people – on furlough. The decision was announced by the general director of the airport Mikhail Vasilenko.



Air traffic at Russia’s biggest airport has fallen sharply since the end of February after the Russian invasion into Ukraine and the subsequent imposed sanctions by the European Union and the United States.
 
Back
Top Bottom