Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Nairobi unayo ishi wewe ama ipi?., eti daily, sawa sikujua wewe ni mkaazi wa Nairobi🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅Inawezekana lakini mara nyingi huwa wanaiba kwenye maduka, sio hii yenu mtu mmoja anaibiwa na watu 50 actually hii ni daily life situation in Nairobi