Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FOWXl18XsAQ0b4m

VS

FOWXmQ2XEAYDeCx

VS

E37LuwVWQAEYfad
Haahaha. Kenyatta anacheza pool kama mlevi.
 
Mimi kama naeza kupiga nipate kenye nataka na hakuna MTU atakaye niuliza, ntakutwanga tu hadi nipate nachotaka. We kama ni mjinga upigane na Mimi na unajua vizuri sana nitakupiga ole wako.
Hii ndio kesi ya Ukraine na Russia.
Mimi nitapigana na wewe hata kama mimi ni mnyonge. My friend siwezi kukupigia magoti eti juu wewe una nguvu kunishinda. That is why underdogs who believe in themselves win wars too. Afhanistan ilishinda USSR in the 1980s. Vietnam ilishinda US in the 1960s. Afghanistan ilishinda US na ikabidi US ijitoe last year with a lot of embarrasment and shame. Usidhani kwamba hii dunia watu wenye nguvu pekee ndio huamua vitu. Watu wanyonge pia huamua. Watu wa Ukraine wapo 110% correct kupigania nchi yao hata kama Russia ina nguvu kuwashinda. Sisi Waafrika wakati tulikuwa tunapigwa na wakoloni hatukuwacha kupigana eti kwa sababu wakoloni wametushinda nguvu. Blacks wa South Afrika hawakuacha kupigana dhidi ya racism na brutality ya Apartheid govt just because that govt was much stronger than them. Kama unadhani wenye nguvu lazima washinde tegea tuone hii vita itaisha vipi. Putin mwenyewe alikuwa amepanga kuchukua Kiev ndani ya siku mbili, sasa mwezi unakaribia kutimia. You are entitled to your opinion but let us agree to disagree on this issue coz I would rather stand on the side of justice rather than support Russia's military intimidation.
 
Hata tungetangaza premier league ya Uingereza tusingepigwa hivi, yaani serikali ya majizi hii sijapata kuona

Billion 7 si unanunua CNN Atlanta yote?

View attachment 2159177
Ujue kuna vitu vingi vya ajabu ajabu lkn watu wamekalia kimya.. kisa sijui ni mama au wapiga deals ni mtu wao.. afu kwa zile mizunguko sidhan hata yey kakwepa kutia kitu mfukon
 
Mimi nitapigana na wewe hata kama mimi ni mnyonge. My friend siwezi kukupigia magoti eti juu wewe una nguvu kunishinda. That is why underdogs who believe in themselves win wars too. Afhanistan ilishinda USSR in the 1980s. Vietnam ilishinda US in the 1960s. Afghanistan ilishinda US na ikabidi US ijitoe last year with a lot of embarrasment and shame. Usidhani kwamba hii dunia watu wenye nguvu pekee ndio huamua vitu. Watu wanyonge pia huamua. Watu wa Ukraine wapi 110% correct kupigania nchi yao hata kama Russia ina nguvu kuwashinda. Sisi Waafrika wakati tulikuwa tunapigwa na wakoloni hatukuwacha kupigana eti kwa sababu wakoloni wametushinda nguvu. Blacks wa South Afrika hawakuacha kupigana dhidi ya racism na brutality ya Apartheid govt just because that govt was much stronger than them. Kama unadhani wenye nguvu lazima washinde tegea tuone hii vita itaisha vipi. Putin mwenyewe alikuwa amepanga kuchukua Kiev ndani ya siku mbili, sasq mwezi unakaribia kutimia. You are entitled to your opinion but let us agree to disagree on this issue coz I would rather stand on the side of justice rather than military intimidation.
Putin akasema wapi anachukua Kiev na Siku tatu? Tony wacha kueneza propaganda za dailymail huku jf
 
Mimi nitapigana na wewe hata kama mimi ni mnyonge. My friend siwezi kukupigia magoti eti juu wewe una nguvu kunishinda. That is why underdogs who believe in themselves win wars too. Afhanistan ilishinda USSR in the 1980s. Vietnam ilishinda US in the 1960s. Afghanistan ilishinda US na ikabidi US ijitoe last year with a lot of embarrasment and shame. Usidhani kwamba hii dunia watu wenye nguvu pekee ndio huamua vitu. Watu wanyonge pia huamua. Watu wa Ukraine wapo 110% correct kupigania nchi yao hata kama Russia ina nguvu kuwashinda. Sisi Waafrika wakati tulikuwa tunapigwa na wakoloni hatukuwacha kupigana eti kwa sababu wakoloni wametushinda nguvu. Blacks wa South Afrika hawakuacha kupigana dhidi ya racism na brutality ya Apartheid govt just because that govt was much stronger than them. Kama unadhani wenye nguvu lazima washinde tegea tuone hii vita itaisha vipi. Putin mwenyewe alikuwa amepanga kuchukua Kiev ndani ya siku mbili, sasa mwezi unakaribia kutimia. You are entitled to your opinion but let us agree to disagree on this issue coz I would rather stand on the side of justice rather than support Russia's military intimidation.
Mwanaume unatakiwa kuwa hivyo sio kama huyo jamaa yeye yuko tayari kupigwa hii 👇

20220216_225742.jpg
 
Huyo lawyer ni mjinga mpumbavu wa mwisho. Just because he is a lawyer doesn't mean he ain't lying. Lawyers are liers. Hakuna profession ya watu waongo kama mawakili. Anyway, what he has said is b*llshit. Russia hana ruhusa kisheria kuvamia Ukraine. He is lying that Russia's invasion is legally justified. Chenye Russia imefanya ni violation of international law. This is the first stupid lawyer nimesikia akisema ati hii invasion ni legal. This is an illegal invasion and just because he is a lawyer doesn't mean he is right. Russia imevunja international law, period.
 
Back
Top Bottom