Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,912
- 103,771
May faru Rajabu rest in peace!
Na mbona we mwafrika mdanganyika unahangaika na Ukraine basi? Kwa nini UN wanalazimisha nchi za Afrika kuvote in favour ya NATO, wacha Ukraine na Russia wamalizane sababu haituhusu sisi waafrikaZile ni medioa zao na ziko busy naambo yao,nyie huku Africa nani kakukataza kutumia media za Africa ku address issues za Africa?
Mpigane nyie afu wazungu ndio wawahangaikie? Muulizaji hapo kauliza vizuri nini msimamo wa AU?
Sasa kwa hili unamlaumu mzungu kwa lipi?
Mimi nafanya kwa mapenzi yangu Kwa West na silaumu yeyote.Na mbona we mwafrika mdanganyika unahangaika na Ukraine basi? Kwa nini UN wanalazimisha nchi za Afrika kuvote in favour ya NATO, wacha Ukraine na Russia wamalizane sababu haituhusu sisi waafrika
We ni binadamu bure ndio maana unafuata west. Haufuati ukweli.Mimi nafanya kwa mapenzi yangu Kwa West na silaumu yeyote.
Ukraine inageuzwa kua failed state kama middle east countries. Hii kama sio terrorism sijui tutaiita aje. Vita ni kitu mbaya sana.
Wewe ni mjinga, ukweli kwa mujibu wa nani?We ni binadamu bure ndio maana unafuata west. Haufuati ukweli.
We endelea kulamba mzungu tako. Naona uko poa sana kwa hiyo field.Nchi ya mzungu haiwezi kuwa failed state,ni suala la mda tuu vita ikikoma ina recover kama zamani
Ukweli hauna mujibu wa MTU yeyote. Ukweli ni ukweli tu.Wewe ni mjinga, ukweli kwa mujibu wa nani?
Na wewe endelea kulamba Lolo ya Russia,wale sio wazungu 😬😬😬We endelea kulamba mzungu tako. Naona uko poa sana kwa hiyo field.
I don't support Russia or the west. I stand by the truth.Na wewe endelea kulamba Lolo ya Russia,wale sio wazungu![]()
Ndio huo sasa mvamizi insane Putin akome kuua watu wa Ukr,huu ndio ukweli kwa nini uvamie Nchi huru kwa visingizio vya kutunga?Ukweli hauna mujibu wa MTU yeyote. Ukweli ni ukweli tu.
Truth ipi hiyo? Unafiki hii ya kuua?I don't support Russia or the west. I stand by the truth.
Truth ni kwamba Ukraine watapigwa na Russia. Vizuri wangetumia diplomacy kama vile Russia walikua wamesema. Wakue Neutral country kama Switzerland, Finland, Sweden etc na wasign agreement. Wangefanya ivo Russia hawange attack. But Zelenshky ni Zionist anataka tu vitaTruth ipi hiyo? Unafiki
Hilo la kupigwa unaongea wewe ila Kazi inayofanyika huko battleground ni hii hapa 👇Truth ni kwamba Ukraine watapigwa na Russia. Vizuri wangetumia diplomacy kama vile Russia walikua wamesema. Wakue Neutral country kama Switzerland, Finland, Sweden etc na wasign agreement. Wangefanya ivo Russia hawange attack. But Zelenshky ni Zionist anataka tu vita
Nao marekamni wanafurahia kuwauzia vifaa.