Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Hii vita ya Ukraine imenifunza jinsi western media ni hypocrites. Ethiopia na Mozambique kumekua na vita kali tangu 2020, maelfu ya watu wameaga dunia lakini taarifa hizi haziko kwa international media yeyote ata social media ni report moja mbili alafu kimya.
Kwa sasa, western media wanataka tusimamishe dunia tuomboleze na tuongeze bei ya bidhaa kama mafuta sababu mzungu kutoka Europe Ukraine anauliwa na mrussia. I call it bullshit
All lives matter
Kwa sasa, western media wanataka tusimamishe dunia tuomboleze na tuongeze bei ya bidhaa kama mafuta sababu mzungu kutoka Europe Ukraine anauliwa na mrussia. I call it bullshit
All lives matter