Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,947
- 103,834
upo dunia ipi mshikaji? Hilo la cargo mi sijui ila Rovos wana itinenaries along the route!Hiyo reli ya Benguela imeshakuwa linked na Tazara? The most lucrative and interesting route ni hiyo ya Congo.
Hiyo jungles ndio nzuri, wasipopasua Kwa train watapasua Kwa barabara then wata feed on train stations. Mzigo lobito port hamna.. Madini yanapungua labda mafuta ambayo nayo Sio kama awali.
Chuma na forest products kutoka Congo ndio targets hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Option iliyopo kufika Atlantic ocean kupitia DRC ni kupitia Katanga province na inahitaji upgrade kati ya Banana na Matadi (365 km) na Kinshasa-Ilebo (655 km)!
. Jirani vipi uko 

for Africa development.