Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakuta timu ya watu wanne pekee waliojibebea Javelin anti-tank missile na missiles za kutosha imetosha kuangamiza battalion nzima ya tanks zaidi ya 30.
Russia bado wanapigana vita vya 1980s ambapo armoured tanks ndio zilikuwa zinaheshimika vitani. Siku hizi vita vya 21st century, mtu mmoja akiwa na javelin ATGM moja na missiles za kutosha anaweza kuangamiza tanks tano akiwa peke yake. Ujue kila tank ina majeshi wanne au zaidi na huwa wote wanaungua na kuwa nyama choma wakiwa huko ndani ya tank. Wanajeshi wengi sana wa Russia wamepikwa wakawa vitoweo ndani ya sufuria hio ya Chuma.
 
1647601305299.png
 
Hili Mashine ambalo limetengenezwa USA kwa jina la Javelin anti-tank Guided missile (ATGM) Ndio linalotumika kuwapika wanajeshi wa Russia wakiwa ndani ya tank hadi wanakuwa choma tayari kuteremshwa na ugali.
images (3).jpeg

Javelin_with_checkout_equipment.jpg

Na hili hapa ambalo limetengenezwa UK kwa jina la NLAW (next generation anti-tank weapon) nalo linawapika warusi kweli kweli hadi wanaiva vizuri.
images (4).jpeg
images (5).jpeg

Cc ichoboy01
 
Hili Mashine ambalo limetengenezwa USA kwa jina la Javelin anti-tank Guided missile (ATGM) Ndio linalotumika kuwapika wanajeshi wa Russia wakiwa ndani ya tank hadi wanakuwa choma tayari kuteremshwa na ugali.
View attachment 2155282
View attachment 2155294
Na hili hapa ambalo limetengenezwa UK kwa jina la NLAW (next generation anti-tank weapon) nalo linawapika warusi kweli kweli hadi wanaiva vizuri.
View attachment 2155290View attachment 2155291
Cc ichoboy01
La Germany ambalo limewasili Ukraine linaitwa Panzerfaust ATGM. Nalo pia linawapika warusi.
images (6).jpeg

images (7).jpeg
 
Hili nalo la Mmarekani linaitwa FIM-92 Stinger. Ni dude deadly sana la kuangusha ndege za adui. Waukraine tayari wanazo na wanazitumia
View attachment 2155311View attachment 2155313
Hili nalo ni la Mturuki na linaitwa Bayraktar TB-2 drone. Dude hatari sana kwa kuangamiza tanks za adui. Tayari warusi wameshapikwa kwa kutumia missiles za hili drone
images (12).jpeg
 
Hili Mashine ambalo limetengenezwa USA kwa jina la Javelin anti-tank Guided missile (ATGM) Ndio linalotumika kuwapika wanajeshi wa Russia wakiwa ndani ya tank hadi wanakuwa choma tayari kuteremshwa na ugali.
View attachment 2155282
View attachment 2155294
Na hili hapa ambalo limetengenezwa UK kwa jina la NLAW (next generation anti-tank weapon) nalo linawapika warusi kweli kweli hadi wanaiva vizuri.
View attachment 2155290View attachment 2155291
Cc ichoboy01
na ndio hzo hzo zimetekwa na kupigwa 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
 
Hili nalo ni la Mturuki na linaitwa Bayraktar TB-2 drone. Dude hatari sana kwa kuangamiza tanks za adui. Tayari warusi wameshapikwa kwa kutumia missiles za hili drone
View attachment 2155328
La Poland nalo linatumika kuangusha ndege za kivita na linaitwa Piorun Manpad. Tayari limeshaangusha ndege kadhaa za Mrusi.
View attachment 2155305View attachment 2155307View attachment 2155309
La Germany ambalo limewasili Ukraine linaitwa Panzerfaust ATGM. Nalo pia linawapika warusi.
View attachment 2155303
View attachment 2155304
assnte kwa propaganda😂😂😂😂
 
hili linaweza pia kuangusha helicopters na Jets za Urusi??
Hapana TB-2 haiwezi kuangusha jet unless hio jet iko kwa ground. Missiles za hio drone are too slow kukimbizana na jet lakini pengine zinaweza kukimbizana na helicopter. Lakini hizo manpads nimeweka hapo juu zinaweza angusha ndege coz missiles za hizo manpads zinamove faster than the speed of sound. Kwa mfano hizo missiles za hii Piorun ya Poland na Stinger ya Marekani zina speed ya mach 2 kwa hivyo zinakimbia mbio kushinda speed ya sound times two. Yaani inakimbia mbio kushinda helicopter zote duniani na jets chache sana zinaweza kukimbia mbio kushinda hio missile
images (8).jpeg

Tazama hii video inayocompare Stinger missile ya Marekani na Piorun ya Poland. Video inaelezea kila kitu.
 
View attachment 2155344
Tazama hii video inayocompare Stinger missile ya Marekani na Piorun ya Poland. Video inaelezea kila kitu.
oooh poa sana🔥
 
Back
Top Bottom