Mzee wa kupeleka Jeshi kununua korosho 😁😁Endelea kuota ndoto za alinacha,Kama korosho zilitushinda kulipa tungeingiaje kwenye hii biashara hatari huku ukijua Marekani wanakuchora tu ujichanganye na wewe upigwe cha Moto.Kwa nchi za ulimwengu wa tatu hufuata sanction za US automatically.Kumbuka wakati wa JPM akina kabudi walivyo haha kuipinga meli ya Iran iliyokuwa na mafuta huku ilipeperusha bendera ya Tanzania illegally.Hofu ilikua ni kutomkwaza US
ichoboy01 aki ndugu zako Warusi wanachofanyiwa huko Ukraine sio fair. Wanapigwa kama mbwa.
Hivi pia ni sawa kusema SGR na TRC ni mali ya waturuki na Americans hadi mtakapomaliza kulipa loanTatizo wakunya mnapenda sana uwongo, NAIROBI EXPRESS WAY NI MALI YA MCHINA! CRBC was responsible for its design, financing, construction and will also operate the road for about 27 yrs, wakunya mna lenu hapo? endeleeni kutozwa, ndiyo maana tunawaambia mnayo GDP kubwa isiyokuwa na uhalisia wa mkunya. FAILED STATE
Katika majengo marefu 30 Nairobi, majengo 28 yanamilikiwa na wageni, Nairobi ni Mali ya foreigners
Tony254 hakuna propaganda hapa
una akili ndogo sana,Hivi pia ni sawa kusema SGR na TRC ni mali ya waturuki na Americans hadi mtakapomaliza kulipa loan
wewe si unaishi Russia mkuu. Kwanza mimi sio mwanasiasa per se.A reason I don’t like politics hasa hizi uchwara za upinzani,
Korosho watu walilipwa wote tena on time,
Rob Lee huwa habahatishi. Mimi sources zangu zinaheshimika. Wewe baki hapo ukicheka wakati watu wako wanapigwa kama mbwa. OSINTtechnical pia huwa habahatishi. Hizi ni sources zinazoaminika. Wewe baki hapo ukicheka wakati ndugu zako wanabakwa huko Ukraine.unajua mm nachoshangaa sana ww imejuaje kama hzo ni tank za russia 😂😂 na kwann russia wamefanikiwa kuingia kyiev 🤣
Russia hawajaingia Kiev city. Wapo kwenye outskirts. Wiki tatu zimepita na superpower wako wameshindwa kuingia Kiev.unajua mm nachoshangaa sana ww imejuaje kama hzo ni tank za russia 😂😂 na kwann russia wamefanikiwa kuingia kyiev 🤣
Mambo mengine uwe unaachana nayo mkuu, hayaongezi wala kupunguza kitu.Uitwe John Joseph Pombe Magufuli International Airport!
Hiyo ni Wikipedia achana nayo.Thank you for the source. From now on I will be using that figure. I didn't know Kenya had such a high gdp per capita. This is interesting.
Sasa tatizo nn hapa? Wana Chato si wanataka kumuenzi JPM na nimetoa suggestion na pia kusema badala ya sanamu wangeomba memorial library ingekuwa more meaningful! Mimi nipo serious kwenye hii suggestion yangu! Serikali kazi yake si kujenga sanamu kwa ajili ya kutimiza nia ya idolization, hiyo ni kazi ya foundations e.t.c.!Mambo mengine uwe unaachana nayo mkuu, hayaongezi wala kupunguza kitu.