[emoji16][emoji16][emoji16]sahvi tunawahitaji sana,tunakodi midege mikubwa kuwaita waje wawekeze maana tumeshatumia mbinu kibao bado hatujatoka...Nadhani hiki ndio kipondi6cha kugegotiate good deals tukipigwa tena sahvi tutaendelea kudharaulika daimaFuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu
Vijana wadogo hawakuelewi.Fuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu
diane mayles ni nani ??? 🤣🤣🤣Kuna tofauti kati ya quality na quantity....
Tanzania tunajichelewesha wenyewe sababu kila kitu tunachakachua ni as if kuna mtu tunamkomoaView attachment 2152909
diane mayles ni nani ??? 🤣🤣🤣Kuna tofauti kati ya quality na quantity....
Tanzania tunajichelewesha wenyewe sababu kila kitu tunachakachua ni as if kuna mtu tunamkomoaView attachment 2152909
Tony254 zile propaganda ziko wapi🤣🤣kwa ground hali halisi ipo hivi,achaneni na propaganda,
vita siyo vizuriView attachment 2153005
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
design imebadilika stadium nadhani itakuwa kama hii nyuma ya arena ya Dodoma!asee tukijenga hizi, majiran lazima watupe heshima
View attachment 2153219
View attachment 2153220
View attachment 2153221
View attachment 2153222
wacha complications mzee, kama nafasi ipo Taifa mbona waende sehemu nyingine na pale accessibility ipo vizuri? Sehemu nyingine ina maana new roads, new water n power connections n compensation too! Budget yenyewe ya manati! Yaani waache sehemu BRT itapita na flyovers za kurahisisha connectivity waende Mabwepande sio? Kwani huangaliagi olympic kuona facilities zinawekwa sehemu moja? Au unafikiri sisi ni Dubai tuna pesa za mafuta kujenga sehemu yeyeote ile hata baharini?hapa ndo wanapokosea kuweka sehem moja.. waweke hata maeneo ya kinondoni huko .. kuziweka sehem moja haipendezi
munawahitaji au wao ndio wanatuhitaji zaidi 😂😂😂😂 mzee wa GDP[emoji16][emoji16][emoji16]sahvi tunawahitaji sana,tunakodi midege mikubwa kuwaita waje wawekeze maana tumeshatumia mbinu kibao bado hatujatoka...Nadhani hiki ndio kipondi6cha kugegotiate good deals tukipigwa tena sahvi tutaendelea kudharaulika daima
wacha complications kama nafasi ipo Taifa mbona waende sehemu nyingine na pale accessibility ipo vizuri? Sehemu nyingine ina maana new roads new water n power connections n compensation too!
walee wazee wa arena wako wapi??🤣🤣🤣
hii lazma ziende kwa pamoja na morocco alishajitolea uwanja sasa serekali imalizie hio arenaasee tukijenga hizi, majiran lazima watupe heshima
View attachment 2153219
View attachment 2153220
View attachment 2153221
View attachment 2153222
Mjuaji au facts? nipe economic benefit ya kujenga sehemu tofauti kama Mabwepande kusipo na barabara na connection nzuri na say JNIA (inayoenda kujengwa hotel)! Na kama Olympic committees zinahimiza olympic villages je wewe ushauri wako huoni hauko sustainable?haya mjuaji [emoji1787] waiache hapohapo
Who is the biggest investor in Africa now?, Who is the biggest financial lender to Africa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]sahvi tunawahitaji sana,tunakodi midege mikubwa kuwaita waje wawekeze maana tumeshatumia mbinu kibao bado hatujatoka...Nadhani hiki ndio kipondi6cha kugegotiate good deals tukipigwa tena sahvi tutaendelea kudharaulika daima
na kama hawajui,kwa wale waliosoma bible taifa dogp litapiga taifa kubwa,Fuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu
kaongea ukweli ajaongea propaganfmda,Kanali mstaafu wa US army akielezea vita ya Russia - ukraine