Ni kweli idadi ya watu kuwa kubwa sio tatizo ikiwa mna uchumi mkubwa. Angalia China ambayo ina watu 1.3 billion ila ina gni per capita ya $10,000. Huku Tanzania na watu wake 60 million ina gni per capita ya $1,100. Yaani hio ina maana kuwa China pamoja na kuwa na watu wengi kushinda bara nzima la Africa, kila mchina anapokea kwa mwaka income (mapato) mara kumi ya kila mtanzania. Kenya ina gni per capita ya $1,900 kwa hivyo mchina mmoja anapokea kwa mwaka income (mapato) mara tano ya kila mkenya. Afrika sijui tulifeli wapi. Sijui tulimkosea Mungu wapi. Wachina ni wengi sana kama siafu ila pia kimapato wametushinda kwa mbali. Hata nchi tajiri tajiri za Afrika kama South Afrika na Egypt haziwafikii wachina kwenye per capita income. Unakuta nchi mbili ndogo za Afrika ndio zinaweza kukimbizana na China kwenye gni per capita yaani Mauritius na Seychelles.Sisi kosa letu ni uchumi mdogo tungekuana uchumi imara hata tungezaliana tukawa million 100 msiongeongea chochote
A Kenyan masquerading as a Ghanaian was there hours after you had posted on JF, obviously commented in favor of their slum jungle.
Watu wengi wakiwa kwenye eneo dogo maana yake wanapigana pumbu kwa kwenda mbele sasa fanya mahesabu hapo ujionee wewe mwenyeweSisi kosa letu ni uchumi mdogo tungekuana uchumi imara hata tungezaliana tukawa million 100 msiongeongea chochote
Thanks for sharing pictures older than you.Kuliko hizi, onyesha!
[emoji1787][emoji1787]wewe unazungumzia vitu gani?Watu wengi wakiwa kwenye eneo dogo maana yake wanapigana pumbu kwa kwenda mbele sasa fanya mahesabu hapo ujionee wewe mwenyewe
Mifumo ya usafiri utasema uko Munich au frankfurtTanzania ni baba lao East Africa nzima
View attachment 2153045
View attachment 2153046
View attachment 2153047
View attachment 2153048
Marekani na Saudia wanategemeana. Hakuna anayeweza kuishi bila mwenzake. Marekani anaprotect hio dynasty ya King Salman na Saudia nayo inanunua silaha za marekani kwa wingi. Saudia pia inanunua treasury bills and bonds za marekani. Pia Saudia inapokea malipo ya mafuta kupitia dola pekee, haikubali malipo kupitia currency yoyote isipokuwa dola. Wanategemeana. Unakumbuka ule wakati Iran kupitia Houthis ilivurumisha makombora mazito kwenye oil refineries za Saudi Arabia? Saudi Arabia ilikimbilia Marekani na kuiomba msaada. Marekani ilileta patriot missile system ambayo ndio sasa inatumika kukinga oil refineries za Saudia from drones na missiles za Houthis. Houthis siku hizi wanarusha missiles lakini hazifiki kwa maana zinatumbuliwa zikiwa angani. Hii patriot missile system ndio Marekani imepatia Israel na Israel inaitumia kutumbua missiles za Wapalestina. Marekani anategemewa sana kiulinzi na nchi hizi. Hata UAE juzi amerushiwa makombora na Houthis, UAE akaomba msaada kutoka kwa Marekani na marekani ameweka missile system UAE tayari kutumbua missiles za Houthis zinazorushwa UAE. Ni ujinga nchi hizi kujifanya kwamba haziitegemei marekani wakati wakipigwa kidogo tu na Houthis au Iran au Wapalestina, nchi hizi za kiarabu zinakimbilia marekani kuomba msaada wa ulinzi. Ni kama mtoto wako anayejifanya kwamba hakuhitaji lakini akipata shida kidogo tu anakukimbilia wewe.Anaringia mafuta na wafalme wa Saudi wanajua wamarekani hawawezi kuwaacha maana wakiondoka hao watakuja hardliners ambao watakuwa sio rafiki na marekani na kupelekea marekani kukosa supply ya mafuta toka Saudi na government papers za marekani zitadoda maana saudi ndie mnunuzi mkubwa wa hizi karatasi za serikali ya marekani
Russia anatumia mbinu za kigaidi kufanya mashambulizikwa ground hali halisi ipo hivi,achaneni na propaganda,
vita siyo vizuriView attachment 2153005
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kindly please help yourself from this madness,Are you aware Uganda is ahead of Tanzania in terms of infrastructure development? So acha kutajataja Uganda in the same sentence with Tanzania.
You guys are the silliest!
@Tony254tuna akiba ya mchele mwingi zaid ya tunayokula
Fuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazunguMimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
InafurahishaAcha ku-post huu ujinga!
Kanali mstaafu wa US army akielezea vita ya Russia - ukrainekwa ground hali halisi ipo hivi,achaneni na propaganda,
vita siyo vizuriView attachment 2153005
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni kuwadi kama Kunyaland haiwezi kutushauri! Mlishawahi kuvunja uhusiano kufunga ubalozi wa China kwa amri ya mabwana zenu the West! leo hii Mchina anawatia vidole kama hana akili nzuri!Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
Hii inahusu nn kati ya Tanzania na Kenya? Jamaa kawa mwanajeshi US ndo kuja kujitambia humu ndani? Kama si ujinga?Inafurahisha
Kama hutaki usiangalia iruke au jifanye hujaona
Well isn't that ironic? We're in the atomic age, and the same advancements could potentially wipe out our species before we even get the chance to conquer the solar system, let alone Mars.Development and usage of nuclear power/weapons show how much the human mind can achieve. As we become an interplanetary species living in Mars, I would love to see humans develop better methods of generating immense power to achieve inter galactic travel even if not in our lifetime.