Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Danganyikans are and have been suffering from hunger, illiteracy, diseases etc but the media is too afraid of CCM to show it
 
Hili jambo linaniudhi sana. Kwa nini hawa maumbwa Al shabab wanawachwa watawale huko Boni forest na kuchoma magari za contractor anayejenga barabara huko? Hio barabara ni muhimu sana kuunganisha Lamu na Garissa.
Kunyaland ni failed state, haina jeshi sasa wafanyeje?
 
hawajawahi kufika walio wengi, Tanzania wanaijua kwa kuigoogle na kuambiwa hahahhhaha, TZ inabidi tupambane tuendelee kuvutia taasisi za kimataifa kuweka makao makuu yao hapa, tulichelewa sana wakati tunawasaidia wenzetu kupata uhuru, muda ni huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…