Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani Geza ulole anaishi dunia ya zamani sn, kunahitajika hotel JNIA, ni jambo la ajabu sana uwanja wa kisasa kama ule unakosa hotel ya kisasa kwa mawazo ya kulipuliwa.
100% na atakayebahatika kuweka hoteli pale itamlipa sana!.ataanza kwanza na mashirika ya ndege!!!ndege zinazodelay au kupata technical fault ni hela!!!achana na mteja mmoja mmoja ama wa makampuni makubwa!pia mjini ni karibu sana.
 
yes ila height restriction ina maana yake! baba si kila kitu ubishi! Hata nyumba zinazozunguka White House DC zina height restriction based on the radius!
Kumbe unajua mambo ya height restriction lakini ile siku ulikuwa unakejeli bridge yetu ya Mombasa inayojengwa kwamba sio suspension bridge? Nikakueleza kwamba kuna height restriction kwa sababu ya airport iliyopo hapo karibu.

 
yes ila height restriction ina maana yake! baba si kila kitu ubishi! Hata nyumba zinazozunguka White House DC zina height restriction based on the radius!
Sijakukatalia mkubwa kwenye hili la height restrictions au tuchimbe chini kdg basement halafu ndo twende juu kwny kufidia 😂
 
Kumbe unajua mambo ya height restriction lakini ile siku ulikuwa unakejeli bridge yetu ya Mombasa inayojengwa kwamba sio suspension bridge? Nikakueleza kwamba kuna height restriction kwa sababu ya airport iliyopo hapo karibu.

View attachment 2147873
kwani suspension bridge au cable stayed bridge inahusiana vp na height restriction? Kwani magari hupita on top of piers?
 
Kifaru chenyew kilicho pigwa ninkimoja, alafu wanaunganisha picha za matukiontofauti
 
kwani suspension bridge au cable stayed bridge inahusiana vp na height restriction? Kwani magari hupita on top of piers?
Suspension bridge au cable stayed bridge huwa ina pillars mrefu sana. Ndege inaweza kucollide nayo wakati inaland au wakati inatake-off. Nyie mna bahati bridge zenu hazipo karibu na airport. Tazama hii Nyerere bridge ilivyo na pillars ndefu kisha uimagine kwamba ipo karibu na airport kwenye njia ya ndege wakati ndege inataka kutua au kuruka. Hii Nyerere bridge imejengwa na pillars ndefu hivyo kwa sababu ipo mbali na airport kwa hivyo hakuna ajali ya ndege inayoweza kutokea.

 
Ndio ujue kwamba GDP is nothing if doesn't support wellbeing of citizen, the same as Kenya's GDP interms of 1)Unemployment, 2)Hunger, 3)Crime rate, 4)Water availability 5)Accessibility to medical services, 6)Corruption, and many others
 
Sasa mbona unachanganya?, Hivi ni vipengele viwili tofauti
1)Biggest and modern Airport
2)Busiest Airport.
 
Hii ipo wazi toka mwanzo tulikua tunasema $ inaenda pigwa down fall moja ya ajabu . Imagine China wakisema wanauza vitu vyao kwa nchi only by using yuan . Mzunguko wa hela ndio ujenga thamani ya currency .

Kumbuka China na India ni almost robo ya population duniani kote . Plus Russia , Iran na nchi nyingine za zitakounga mkono . USA wanapoteza kuwa superpower tactical without WW3
 
Inawezekana ndio maana maeneo karibu na nyerere road opposite na airport yamenunuliwa kitambo lakini hayajaendelezwa. Labda walitaka kuoverprice kwenye ujenzi wa hizo rest house
 
Kwa hiyo unataka kusema hii pillar ni zaidi ya 50 m? Na along that bridgde, a tower of 50 m can not be errected? Can u back up ur claim? and what about the cable stayed structural designs u people were posting in here?
 
Naona somo limekuingia vizuri sana sasa umeelewa GDP za African countries hazisaidii kitu sio ila things on the ground is what matters as you evidently stipulated hapo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] I framed the question nikijua utaingia mzima mzima tuu hapo.

Sasa naona tufunge rasmi suala la GDP hapa East Africa tuwekeze nguvu kwenye tangible things kwa ground.
 
Designated area for hotels and shops ni nyuma ya airport unaingilia jet kama unaenda buza hapo mwanzoni tuu before you cross Tazara rail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…