Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just to mention few cities
E buses zipo

Jozi
Capetown
Pretoria
Durban
Cairo
Some cities in Morocco. Alafu uko hapa kusema eti E buses za NAIROBI ni the first in Africa 😂😂😂
Leta picha cause nobody is interested in your empty talks.
 
giphy.gif

kuna raman ya vyumba vitatu aliipost nikaipenda.. nikamwambia naona ya vyumba vinne viwili viwe master bedrooms maybe nitapata kaidea kidogo nyumba ijayo new itakavyokuwa.. mpka leo hajaleta.. pengine kweli ni dalali
heb come again, eti kwa hio nyumba moja, master bedroom ziwe mbili... ama sikukuelewa. chochote utakacho utakipata mzee, uskonde. daktari amekwisha sema
 
Mtu anapambana kupingana na ukweli day and night bila kuchoka mwishowe atazeeka huyu kwa kinyongo na huzuni anazozipata dhidi ya Tz, tatizo lake huwa anadhani maumivu anayapata peke yake kumbe ni wakunya wote
Kwani hawa si ndio zao walikuwa wanasifia reli yao wakisema ni best kuliko yetu lakini kadiri muda unavyoenda wanazidi kupoteana.
 
Back
Top Bottom