In the next five years mahitaji ya umeme yatakuwa makubwa sana, hii investment yote itakuwa kigamboni na Huyu ni one investor, amesema kuna investors wengine kutoka Egypt wanataka kuja kuinvest! On top of that kuna industrial parks zinakuja kuanzishwa pwani hivi karibuni na mama juzijuzi alikuwa Dubai kuna investors wameshasaini mikataba kuja kuwekeza bila kusahau juzi kati GSM alinunua malori mengi kutoka kampuni moja ya China jina limenitoka, Hii kampuni imevutiwa sana na imesema inakuja kuleta assembly plant in TZ maana wanauza units nyingi.Lakini bado utaulizwa huo umeme wa rufiji mtautumiaje hehe
Uta step wewe kabla ya ZelenskyNa wageni na civilian walivyoruhusiwa kuondoka hadi Jumatatu Ukraine kutakua kuna majivu sehemu nyingi kabla rais wao astep down mapema. Siombei mabaya lakini urusi hawana huruma watapiga sana .
Halafu sijui kwa nini raisi wao asikubali matokeo anaomba NATO wafanye anga Lao no fly zone means ,They failed to protect by themselves. Akubali hili kulinda infrastructure zao
Mnaongoza indeed ππππHata ukilia haitosaidia, Tz inaongoza ktk suala electricity connectivity in Africa co tu EA pekee bali kwenye suala la umeme hasa vijijini hatushikiki.
Awamu ile serikali yote ingehamia hapo kwenye uzinduzi ππ
Wewe mbwa mnuka mavi usinipotezee mda wangu .Mnaongoza indeed [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
KenyaView attachment 2144965
Tanzania
View attachment 2144968
Pia Russia wameanza kutapatapa na kutoa vitisho mbuzi baada ya several western industries ku shut operations zao huko kwa Hitler wa zama hizi.Wanaosema kwamba sanctions haziwezi kuiaffect Russia muwache ujinga. Russia imeamua kuwacha kuuza foreign currency yaani dollar, Euro na kadhalika kuanzia sasa hadi September. Yaani kwa miezi sita zijazo wafanyibiashara wa Russia watakosa kabisa dollar wanapotaka kuitumia dollar kuimport mizigo. Mizigo nyingi huimportiwa kutumia dollar sasa sijui wafanyibiashara wa Urusi wanaotaka kuimport mizigo wataimport mizigo vipi? Halafu sio dollar tu, hata Euro, Yen, Yuan zote hazitauzwa Urusi kuanzia leo hadi September. Hio ina maana kwamba hakuna mfanyibiashara Urusi ambaye anaweza kuimport mizigo unless atumie gold au silver kama currency. Yaani kwa ufupi uchumi wa Russia umekufa. Sijui kwa nini baadhi ya Wabongo wachache hapa JF wanafikiri kwamba wanaweza kuwakingia beberu kifua na wabaki salama. Beberu akiamua kukumaliza atakumaliza tu kwa sababu wao ndio wanacontrol dunia. Hata pesa unayotumia kuimport mizigo (Euro,dollar) wao ndio wanacontrol.
Cc joto la jiwe ichoboy01
Mchawi kashakasirikaπππππWewe mbwa mnuka mavi usinipotezee mda wangu .
Marekani hawezi mpigia magoti Venezuela wakati kampuni zake ndio mzalishaji na mnunuzi mkuu wa mafuta ya Venezuela.Russia pia wamesema watafunga bombs lao la mafuta...Marekani wamesema wanaangalia uwezekano wa kuanza kuwapigia upya magoti Irani na Venezuela..hii vita dunia nzima itaumia not only Urusi
China hawezi fuata njia ya kipumbavu ya Putin kutafuta nafasi ya Superpower..Russia will one day regret their invansion.Today China is refusing to trade in Ruble,in some markets Ruble has reached 154 per USD.In short Russian may enter economic ressssion in their history.
Pia Russia wameanza kutapatapa na kutoa vitisho mbuzi baada ya several western industries ku shut operations zao huko kwa Hitler wa zama hizi.
View attachment 2144970
Watakwambia mama anazurura π€π€Elsewedy company from Egypt imeshapewa ardhi today kuanza ujenzi wa viwanda vyake almost 50+, gharama nzima will be 3 billion dollars na watanzania wapatao 40000 wataajiriwa directly and more than that indirectly. SOURCE: TBC ARIDHIO BUSINESS NEWS.
Kujisemesha ni rahisi Sana ila uhalisio huko battleground Hali iko hivi π
propaganda ya western ππππ kipigo wanakula na propaganda juuKujisemesha ni rahisi Sana ila uhalisio huko battleground Hali iko hivi π
View attachment 2144979
View attachment 2144980