Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ndiyo Tony bhn, kesho atakuja akuambie "wacha ujinga hamna recreational park yoyote, nimeangalia kwa google" anasahau kama Leo kaiona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28] itakua ni dingi flan umri umeenda..
 
haya basi miji tano kuu SA ni: joburg, capetown, durban, pretoria na port elizabeth......
sawa basi, wacha ni pick port elizabeth (queberha) itutoe kivumbi, umesema ni pick moja kati ya hizo tano....
twende kwa ground basi
 
haya basi miji tano kuu SA ni: joburg, capetown, durban, pretoria and port elizabeth......
sawa basi, wacha ni pick port elizabeth (queberha) itutoe kivumbi, umesema ni pick moja kati ya hizo tano....
twende kwa ground basi
Mambo ya SA tushaachana nayo usijipe matumaini kwa gharama za mwingine.
 
Sema hana shida na mtu japo ana kaukunya ukunya flani hivi lkn ni mtu safi mwenye tabia za kitanzania ndani yake lkn aliyezaliwa Kenya kibahati mby.
Inaonekana anajua mengi pia sio kama hao wengine wanaonekana hawajui chochote kuhusu Tz zaidi wamemezeshwa na wanaishi kihistoria, hawajui mambo hubadilika. Kuna mlevi siku moja alishangaa kisikia Tz kuna wajaluo!! nikasema hiiiii hyu c ndo anasemaga anaijua bongo nje ndan[emoji848]

Hawajui chochote zaidi ya kugoogle ndomana huwa wanaleta picha za zaman. Wanadhan ndio hali ilivyo currently.. Just imagine mtu anakuletea picha ya 2005[emoji28]
 
Cape town umepiga hatua sana kuna kila aina ya usafiri unaojua ww dunia hii kasoro punda na bodaboda tu πŸ‘‡ Tony254 Safari ni ndeefu sana ku catch up tu kwa hawa Capetown Ila tukijukaza tunafikaelectic buses πŸ‘‡
BRT system πŸ‘‡old commuter rail new commuter rail πŸ‘‡city sightseeing buses πŸ‘‡
 
BREAKING: Russia approves list of countries who've taken 'unfriendly actions' against it, including:

  • Australia
  • Canada
  • EU
  • Iceland
  • Japan
  • Monaco
  • Montenegro
  • New Zealand
  • Norway
  • Taiwan
  • San Marino
  • Singapore
  • S Korea
  • Switzerland
  • Ukraine
  • UK
  • US

All are developed nations not TAKATAKAs kama poor Russia.
 
We wachana na hizi story za uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kenya sehemu yenye maana ni NAIROBI tu kwengine uko ni vichekesho, nikuulize swali, unaijua lagos na Abuja likija suala la welth at individual level.? Utapoteana humu shauri yako.. na hapo nimetaja sehem mbili nikiamua kuchimba details utakimbia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘πŸΌwacha kunishika mashati..... sio mimi.. ni from a reliable and trusted source mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…