Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Prepared by Japan International cooperation agency for Daressalaam mega city transportation plan

Asante marafiki zetu wa Japan

Brt awamu ya 3 inaanza Muda sio mrefu kwa mujibu wa waziri prof mbarawa

B0BD36A1-C8C7-4F2C-A604-7BBFDA547BFD.jpeg
 
mwingine ndiyo huyu,akishaona majimaji bas ashakenua meno yote inje😂😂😂😂😂hapa achapwe na mombasa "majimaji" akenue meno yote tena
Miji yote bora zaidi duniani, ipo kando kando kama sio mto ni bahari, otherwise huo mji ni kijijini tu .. taja mji wowote top 100 in the world ambao haupakani ima na mto au bahari.?
 
😂😂😂 Ar you serious ? We unafkiri NAIROBI inaishinda nini Durban.? then I'll prove you wrong
You can't answer a question with a question. Hujui hata Durban inashinda Nairobi na nini and yet you are here yapping.
 
We tako wewe, hiyo Nairobi inaizidi nini Durban, yani ulinganishe world class Cities na Nairobi.? Are you crazy.?
Durban iko bado kwa Nai, darislum kwani ni world class city😂ligi yake darislum ni Accra na bado hamjaifikia💩
 
Hata majengo marefu Durban inayo! Ukiacha port kubwa kuliko Mombasa!
Hao wakenya wamechanganyikiwa 😂😂😂, hizo cheap small rise buildings zao zinazoanguka hovyo kila siku zinawachanganya .. hapa ulinganishe na Durban 👇, jengo lenye maana hapo ni hii NBO tower pekee
JamiiForums1818513224.jpg
 
You can't answer a question with a question. Hujui hata Durban inashinda Nairobi na nini and yet you are here yapping.
Usinifanye nikacheka mpaka majirani wakatoka nje, taja kitu unahisi NAIROBI iko mbele ya Durban, nimekwambia I'll prove you wrong
 
Miji yote bora zaidi duniani, ipo kando kando kama sio mto ni bahari, otherwise huo mji ni kijijini tu .. taja mji wowote top 100 in the world ambao haupakani ima na mto au bahari.?
Nairobi🌋😍💯🔥🔥landlocked city but well ranked world class city😜darislum bado iko imepakana na maji lakini iko bado sana😂😂😂mnakuhamaga wapi walai

Na ndio maana mnahamia dodoma(planning kama mji wa kisasa)
Sio darislum uswazi3\4 the city
 
😂😂😂 World class City .? 😂😂😂 does Nairobi even qualifies Chinese tier 10 cities status.?
 
Nairobi🌋😍💯🔥🔥landlocked city but well ranked world class city😜darislum bado iko imepakana na maji lakini iko bado sana😂😂😂mnakuhamaga wapi walai

Na ndio maana mnahamia dodoma(planning kama mji wa kisasa)
Sio darislum uswazi3\4 the city
Hujielewi wewe sio bure
 
Back
Top Bottom