I [emoji991]
[emoji617] UDOM
View attachment 2140069
View attachment 2140070
View attachment 2140071
View attachment 2140073
munaeza jionea umbali wa kutoka CBD kwenda westland hauzidi km 3πππ hii picha imenifurahisha sana
hata mm naona south C na upper hillπ€£π€£π€£
So tukufe ama?kilimani na upperhill ndani π€£π€£π€£
Pole Kwa Maumivuπππ. Usijali, I'll be posting pictures like these hili uumie kabisa. Nimegundua hupendi Upperhill ππhata mm naona south C na upper hiiπ€£π€£π€£
View attachment 2140655
usife ila uongee ukweli wote wajue π€£π€£π€£So tukufe ama?
picha imenifurahisha sana pia unaeza ona umbali wa CBD na upper hill hauzidi km 4 π€£π€£π€£π€£ππππPole Kwa Maumivuπππ. Usijali, I'll be posting pictures like these hili uumie kabisa. Nimegundua hupendi Upperhill ππ
View attachment 2140660
Mbona hujaongelea expressway? Ama uligive up?π€£π€£π€£munaeza jionea umbali wa kutoka CBD kwenda westland hauzidi km 3πππ hii picha imenifurahisha sana View attachment 2140648
express way ya mchina kwa miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina kwa miaka 30 πππππ na mpangaji wa fee ni mchina ndani ya nchi ya watu waliofeli maishaMbona hujaongelea expressway? Ama uligive up?π€£π€£π€£
Kwani siku hizi Upperhill iko Tanzania? Juu naona anytime tumeipost unakuanga na hasira Sanaπππ€£usife ila uongee ukweli wote wajue π€£π€£π€£
Kwani ulitaka wajenge halafu tutumie Bure? Wewe akili yako inakusaidia kweli?πππ€£express way ya mchina kwa miaka 30 na hakuna mkenya atapita bila fee kwenda kwa mchina kwa miaka 30 πππππ na mpangaji wa fee ni mchina ndani ya nchi ya watu waliofeli maisha
Ikizidi inakusaidia na nini? Ama inatusaidia na nini sisi kama wakenya.picha imenifurahisha sana pia unaeza ona umbali wa CBD na upper hill hauzidi km 4 π€£π€£π€£π€£ππππ
View attachment 2140661
useme maelezo yanyooke sio unapost part part alaf ngoma zinshindwa kujificha π€£π€£Kwani siku hizi Upperhill iko Tanzania? Juu naona anytime tumeipost unakuanga na hasira Sanaπππ€£
"Tukufe" ndio nini?So tukufe ama?
kwani thika highway munalipia au hujui ni loan from AFDB ππππKwani ulitaka wajenge halafu tutumie Bure? Wewe akili yako inakusaidia kweli?πππ€£
yani mm hua nacheka kuona nairobi ilivo ndogo na ilivojikusanya π€£π€£π€£π€£ichoboy01 hapendi kuona Nairobi pictures combining the skylines of CBD, Westlands, Upperhill and Kilimani. But because I don't feel sorry for you, ntaendelea kuipost as time goes by.
View attachment 2140666
Sema wivu ndio inakumaliza. Dar will never have place rivalling Nairobi CBD, Upperhill, Westlands ama Kilimani.useme maelezo yanyooke sio unapost part part alaf ngoma zinshindwa kujificha π€£π€£