You must be joking huwezi fananisha matumizi ya umeme kwa tea factory na world class mining huku Tz mining zote zinatumia their own source of power including gas now they are in the process of being connected to the national grid starting with Kahama mining that signed with Tanesco electricity contract valued at US 5 million per month.mfano, tea factories za kericho wanatumia kuni ya miti waliopanda wenyewe.. lakini fossil fuels ndo inatumika ata zaidi
Lugha ndio ina kupiga chenga au tatizo nini kijana? Njaa imepanda hadi kwenye ubongo Sio?
Nchi za Africa zilizo abstain zinajitambua sana
Ni kitu cha ajabu sana UNEP ipo katikati ya slumsutajuaje umuhimu wake wakati UN enyewe wewe unai Google wakati sisi tuna interact nao hapa Nairobi
List umetoa kiberaWapi wale watu was Tanzania has more dollar millionaires than Kenya?[emoji23]
People with $1M
Kenya = 3,362
Tanzania = 2,599
People with $30M
Kenya = 88
Tanzania = 42.
View attachment 2137974
Hao wanapenda uji lazima awe anafikiria mahindi tuu kila wakatiakili zako zimeishia kwenye mahindi tu,pole sana bwana mapesa a.k.a chokoraa,
dunia ipo kasi sana endapo usipo update akili yako utabakia kuwa mahindi kama jinsi ulivyo sasa
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Shareholders wa TransCentury. Ebu nionyeshe hao wazungu[emoji23][emoji23]Lugha ndio ina kupiga chenga au tatizo nini kijana? Njaa imepanda hadi kwenye ubongo Sio?
Hao wazungu wa Kenya wamechukua 70% ya wazungu wa ABB from Norway. Sasa sijui unaleta Habari gani hapa.
Weka list ya shareholders Sasa hapa ikae Sawa.
Nyonda kweli wewe.
Haya tutajie miji ya kenya inayoonekana kuwaka taa usiku ikizidi miji mitano natoka JFEti Nairobi pekee ndio inawaka? Huoni Mombasa inatoa mwangaza sawia na Dar es Salaam? Itakuwaje city yetu ya pili kwa ukubwa inatoa mwangaza sawia na capital city yenu? Na hata huoni aibu kujipiga kifua. Ukiangalia kwenye ufuo wa bahari hindi kuna maeneo mawili ambapo mwangaza unawaka vizuri na iliyo kaskazini ni Mombasa halafu iliyo kusini ni Dar es Salaam.
Let's assume your argument is true,bring your 2nd largest city then compare with Mombasa or kisumu coz the image clearly shows darslam is just slightly brighter than Mombasa.and how comes a large city like dar doesn't have metropolis???Letβs break down this photograph, shall we?
View attachment 2138033
First, we need to understand that that the βearth at nightβ map is an excellent way to show urban sprawl. Nairobiβs sprawl looks bigger because itβs not just Nairobi weβre looking at. Itβs the greater Nairobi metropolitan area, which has 20% of Kenyaβs population and contributes 60% to the nationβs GDP.
View attachment 2138029
Darβs sprawl, however, looks like it covers almost the entirety of the Dar es salaam region, the smallest of all in mainland Tanzania. It also extends a bit farther north towards Bagamoyo, west towards Kibaha. The population of that region is roughly 7 million, which is about 12% of Tanzaniaβs population.
So, the area surrounding Nairobi has a lot more people than the area surrounding Dar. Therefore, why would anyone compare the night maps of Dar and Nairobi? The two cities are certainly not the same. Please end this stupidity. Donβt compare a metropolitan area to a city. Thatβs just ludicrous!
Weka linkHehehe ripoti mpya ya Knight Frank ulitoka 3rd March, 2022. Kenya 3,600 dollar millionaires while Tz only have 2,500.
View attachment 2138250
Samia is overworking tooπππ
Soma vizuri,hujaona sehemu imeandikwa remain low au unajifanya huoni? ππ..
Naona umeji quote mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si mlisema mko na $ millionaires wengi kutuliko mzee? Alafu tuko only 48 million wakati nyie 60+ million na madini yote hayo!Iyo report mpya ya idadi ya $ millionaires mbona tofauti ya ke na tz ni ndogo kiasi kile? 3.3k kwa 2.5k ? Vp majirani mnafilisika kwa speed ya light
Mama yuko kazini,Kazi inaendelea πNaona umeji quote mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]