Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila siku tunaimbiwa hapa vile Dar ni kubwa kuliko Nairobi. Ukubwa ambayo sehemu kubwa stima ni ndoto [emoji23] [emoji23]
Hii hapa Map angalia jinsi umeme ulitapakaa Tz nzima nyie kwenu ni only Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums323231830.jpg
 
Kwa makampuni ya biashara sio rahisi kupambana na nchi za Magharibi, vinginevyo watafilisika.
Kuna kitu the West hawataki tujue maana wanatumia nguvu nyingi ku-silence Russian media! There is something to learn on this!
 
Hii Tz wallahi ni Europe ya EA, ona mambo ya Ulaya haya, wakenya watasubiri miaka 2000 ijayo kupata kitu kama hiki [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1084958751.jpg
 
Hii hapa Map angalia jinsi umeme ulitapakaa Tz nzima nyie kwenu ni only Nairobi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2137805
Halafu Mwangaza wa Mombasa na Dar zinatoshana. It is a shame kwamba city yetu ya pili inatoa mwangaza sawia na the biggest city ya Tanzania.
 
Hiyo ni map ya Tanzania? Yani umeona jinsi Nairobi inavyong'aa kushinda Dar is slum hadi ukachanganyikiwa! [emoji23]
Wewe una matatizo ya macho au? Angalia tena, mm congelei Dar au Nairobi, nakwambia angalia Tz alafu angalia na Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums323231830.jpg
 
Halafu Mwangaza wa Mombasa na Dar zinatoshana. It is a shame kwamba city yetu ya pili inatoa mwangaza sawia na the biggest city ya Tanzania.
Huwa mnabisha tukisema Tz Ina umeme mwingi kuliko Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums323231830.jpg
 
Hawa jirani wanatia aibu kwakweli, yn kamji kamoja tu ndiyo kanawaka umeme kwengine kote ni vibatari [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums323231830.jpg
 
Hahahaha, we are about to complete the biggest hydroelectric dam worths $3B, we produce more Natural gas than you, who is richer?[emoji23][emoji23][emoji23]
staki panganga mingi... wht i only need is the total national output... period.!
 
Back
Top Bottom