Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

40% ya viwanda Tanzania vinatumia"Natural gas", we have many options". Tanzania tunatumia gas kuwashinda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
as if kenya hatuna Geothermal energy
kenya-naivasha-rift-valley-140-mw-geothermal-power-plant-olkaria-iv-EAJ2AK.jpg
olkaria-ii-geothermal-power-plant.png
 
Kuna kitu the West hawataki tujue maana wanatumia nguvu nyingi ku-silence Russian media! There is something to learn on this!
Vikwazo vya uchumi lazima vilenge kila "sector" yenye kuingiza pesa/kufanya biashara, hata vyombo vya habari pia vinafanya biashara au vinasaidia kufanyika kwa biashara, haviwezi kuachwa.
 
Tumia akili japo kidogo, Geothermal inazalisha umeme na kuingiza katika grid ya taifa, huo umeme mnazalisha, 53% ni Geothermal.

Sisi hatutumii umeme katika viwanda vyetu, vingi vinatumia gas yetu, kwahiyo mlitaka kulinganisha matumizi ya umeme, Tanzania lazima muhesabu(Electricity + Natural gas)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maumivu yake yanaonekana kwenye maandishi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaongea kwa uchungu kama cc ndiyo tulisababisha wawe mafukara wa kuomba chakula, wawe na tribalism ya kushinda dunia nzima, wawe na nepotism ya kutisha, au wawe na unemployment rate ya ajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaongea kwa uchungu kama cc ndiyo tulisababisha wawe mafukara wa kuomba chakula, wawe na tribalism ya kushinda dunia nzima, wawe na nepotism ya kutisha, au wawe na unemployment rate ya ajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi zote ni sifa zao?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tisha sana Kenya……[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1490][emoji1490]
 
Hizi zote ni sifa zao?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tisha sana Kenya……[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1490][emoji1490]
Jamaa mafukara mnoo msione wanajitutumua humu, wengi bado wanakaa kwa wazazi licha ya umri kuwa umeenda, na wakunya wengi wa humu hawaishi Nairobi, wengi wanaishi ushagoo mana Kenya miji ambayo ni town ni miwili tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha bora tunayo already kuwaliko coz we score higher than your shithole country in HDI rankings. Ama kuna kipimo kingine ya kujua hali ya maisha ya wananchi zidi ya HDI?
Hahaha eti shithole nation,the only shithole its that pathetic kiswahili of yours as its your nation[emoji57]
 
Kenya nzima ni ushagoo ukitoa miji miwili, alafu angalia Tz karibu yote kuna electricity connectivity, ona hii map hapa chini [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums323231830.jpg
 
Back
Top Bottom