Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
Kwani hizo investment unashangilia hapo tanganyika familia yako ndio stake holders 😄ukipata wamesema ni yenu nitag mm 😂😂
Kwani hizo investment unashangilia hapo tanganyika familia yako ndio stake holders 😄ukipata wamesema ni yenu nitag mm 😂😂
hviw unanielewa nachozungumza au kigamboni kuna projects nyingiz sana zilizojengwa na zinaendelea kujengwa yani kigamboni huwez fananisha tatu city 🤣🤣 yani tatu inaingia kwa kigamboni mara elf moja, hzi ni baadhi ya project ziko ndani ya kigamboni achilia mbali za waty binafsi
Wewe ni mzee, jiheshimu na ukubali ukweli for once, cost ya bullet train kama hio mwenzenu ameweka ina cost aje?ndo mnavyodanganywa hivi Kibera na unaamua kuleta hapa! Hebu leta evidence ya ulichosema! And if that the case mbona msichague a cheaper option but superior quality kama Tanzania?
Wewe ndo utoe evidence ya price uliyo-quote!Wewe ni mzee, jiheshimu na ukubali ukweli for once, cost ya bullet train kama hio mwenzenu ameweka ina cost aje?
Imeanishwa tayari mbona, angalia (iii) bold point (ii)kingine, kwa mwaka 2020-2025 mama anatakiwa kujenga hizo flyovers View attachment 2135662
pia barabara ya mwai kibaki (kutoka morocco kwenda kawe, njia ya huku ufukweni), mwaka 2020-2025 mama anatakiwa aanze kuijenga na kuwa njia nne
wanajitekenya na kujipa ma-hope!yenu wapi wamesema ni yenu angali owners vzr lakini 😂😂👇👇👇👇
View attachment 2135663
Imeanishwa tayari mbona, angalia (iii) bold point (ii)
Hii xpress way ya mchina kasehemu kalikoinuka ni only 8km huwezi kulinganisha na hyo ya Entebe.
🤣🤣🤣🤣🤣 ila mchina 🙌🙌🙌
Hahah umepewa vitasa vya kutosha leo!Ila pilipili usiyoila yakuwashiani? Wapi expressway yenu??😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣tofauti yenu na wale wamama wa kupiga udaku kuhusu majirani ni gani? 😅😅🤣🤣
Ati 13 years 😂😂 ulidhani ni njia inajengwa imalize miaka tatu? Na hizo city zenu ziko wapi btw 🤣🤣🤣 zilikuwa zinaitwa kigamboni? Hata nimesahau jina, na bagamoyo ipo wapi? Difference between story telling and people who work, na bado unafikiria tuko ligi moja.kuna zwazwa mmoja anaongelea tatu city ngoja nitoe elimu kidogo kuhusu tatu city white big elephant project😂😂😂
hzi ni render zake na project hii ina over 13 years toka wameanza kujenga
chungulieni picha za zwazwa huyo alaf angalieni na render kamili mutapima uzani wenyewe🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 2135516View attachment 2135517View attachment 2135518View attachment 2135519View attachment 2135521
this picture is just magnificent!Fool We r talking of Nairobi Express way! And not Thika Highway built during Kibaki era!
![]()
Ingia website yao! In short they operate on the back of Djibouti specialising on logistics btn Addis Ababa n Port Djibouti! Be rest assured when Ethiopia allows other regional banks to operate, Exim Bank Tanzania will be among the first!Exim bank of Tanzania haina branch Ethiopia. Mimi masuala ya benki za ukanda huu nimezifuatilia kwa ukaribu sana. Pengine ina representative office lakini sio branch. Kama unapinga leta evidence
Ati thika road imejengwa 2019 🤣🤣🤣🤣 shida ya watanzania huwa nini?anachanganya chumvi na sukari 🤣🤣🤣🤣 na hajui thika imejenga 2019 leo ni 2022 bado anafkiri cost zitabaki zile zile 🤣🤣
32b ksh ya 2019 ni sawa na over 65bksh ya 2021
Saivi imekua njia nnenilikuwa napitia ilani ya uchaguzi, nione serikali inapaswa kufanya nn kwa mwaka 2020-2025
nimekutana na huu ujenzi wa njia nane kibaha hadi chalinze (km 75)
na serikali inapaswa kujenga km 6000+ za barabara za lami
View attachment 2135654
10 years back! Around 2011!Ati thika road imejengwa 2019 🤣🤣🤣🤣 shida ya watanzania huwa nini?