Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Mzee alikua na ushawishi mkubwa alafu ukiangalia masoko yake yote aliyokamilisha watu wamehamia imebakia machinga complex mpaka leo sijui tatizo nnNmeipenda hiyo slogan ya "The Magufuli effect"