Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fool We r talking of Nairobi Express way! And not Thika Highway built during Kibaki era!

FMvrOlrXEAMnsNR
anachanganya chumvi na sukari 🤣🤣🤣🤣 na hajui thika imejenga 2019 leo ni 2022 bado anafkiri cost zitabaki zile zile 🤣🤣

32b ksh ya 2019 ni sawa na over 65bksh ya 2021
 
Ukiona mtu anaanza kutoa kejeli na sio kutumia fikra kujibu ujue kashikwa kunako.

Kucheka maendeleo ya mtu ni ujinga. No matter how small their progress is it’s still progress. Wewe unamcheka mwenzio ameshaanza ujenzi na Wewe bado Uko kwenye drawing board? Mjinga ni nani kama si wewe?
kejeli gani tatizo lako ni moja tu punguza ujuaji na kujifanya kila kitu unajua kuliko wengine na usifkiri mtu akikaa kimya usifkiri hajui 😂😂😂

mm tatu city nimeiskia toka niko A level mzee yani ukiangalia render na ukiangalia walichojenga hata 1% bado hawajafikia na ni more than 15 yrs leo tunazungumza na bahat nzuri hata wao wanajua kua ni white elephant ww ni nani ubishe ???

mm hua sicheki bali naleta ukweli ambao wao hua hawasemi kamwe ndio maana wananichukia ukiwemo na ww ngozi ya kondoo ndani fisi usifkiri hatujakujua bado 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa Ngoja nikuulize swali. Japokuwa hizo estimation zako za progress ni za kejeli. Progress ya asilimia moja sio progress? Wametoka 0% to 1% right? Clearly wamepiga hatua. Sasa linganisha hatua waliyopiga Tatu City na Kigamboni city halafu uniambie kwanini unawacheka wao na sio kujicheka mwenyewe. Ningekuunga mkono kama hata phase 1 ya Kigamboni plan ingekuwa imetekelezwa by now, lakini hakuna kinachoendelea.
 
Sasa Ngoja nikuulize swali. Japokuwa hizo estimation zako za progress ni za kikejeli. Progress ya asilimia moja sio progress? Wametoka 0% to 1% right? Clearly wamepiga hatua. Sasa linganisha hatua waliyopiga Tatu City na Kigamboni city halafu uniambie kwanini unawacheka wao na sio kujicheka mwenyewe. Ningekuunga mkono kama hata phase 1 ya Kigamboni plan ingekuwa imetekelezwa by now, lakini hakuna kinachoendelea.
za kikejeli au naongea ukweli na ww ukweli hupendi 😂😂😂 wamepiga hatua ipi ambayo over 15 yrs hata 1% of the render bado hio unasema ni hatua?? kigamboni kuna projects nyingi sana zilizojengwa na zinazojengwa alaf speed ya ujenzi kigamboni huwez fananisha na tatu city mzee, kigamboni ni sawa mara 1000 ya hio area ya tatu city
 
za kikejeli au naongea ukweli na ww ukweli hupendi [emoji23][emoji23][emoji23] wamepiga hatua ipi ambayo over 15 yrs hata 1% of the render bado hio unasema ni hatua?? kigamboni kuna projects nyingi sana zilizojengwa na zinazojengwa alaf speed ya ujenzi kigamboni huwez fananisha na tatu city mzee, kigamboni ni sawa mara 100 ya hio area ya tatu city
Kawaida ya hawa watz wa enzi za Nyerere kutojiamini (wengi wao), mpotezee tu.
 
Kawaida ya hawa watz wa enzi za Nyerere kutojiamini (wengi wao), mpotezee tu.
how comes anafananisha project ya investor mmoja pale tatu city na kigamboni 🤣🤣🤣 huyo investor mwenyewe alishafeli ndio maana hakuna kinachoondelea pale 15yrs now alaf anabwatuka tu
 
za kikejeli au naongea ukweli na ww ukweli hupendi 😂😂😂 wamepiga hatua ipi ambayo over 15 yrs hata 1% of the render bado hio unasema ni hatua?? kigamboni kuna projects nyingi sana zilizojengwa na zinazojengwa alaf speed ya ujenzi kigamboni huwez fananisha na tatu city mzee, kigamboni ni sawa mara 1000 ya hio area ya tatu city
Za kikejeli kwasababu zinatoka kichwani kwako. Leta proof kuwa progress yao ni 1% hapa. Kigamboni wanajenga Ndio, lakini wanafuata hii master plan?
Maana phase one ilitakiwa kuwa completed in 2020, lakini mpaka sasa hakuna mtu anayefahamu kama mradi unaendelea au umesimama.
6D01D4A3-C262-4D33-8AD9-084852CCAB67.png
 
how comes anafananisha project ya investor mmoja pale tatu city na kigamboni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo investor mwenyewe alishafeli ndio maana hakuna kinachoondelea pale 15yrs now alaf anabwatuka tu
Kizazi cha Nyerere hicho mkuu, kwanza alishaaga humu kwenye hii thread sasa cjui kasahau nn karudi, ina maanisha hajiamini na anachokisema so simply haaminiki. Usibishane na wahenga mkuu wamepitwa na wakati.
 
Kenyans have never denied corruption in their country. Ni nyinyi ndio huwa hamtaki kukubali eti kuna corruption Tanzania hadi Walker255 na tuusan wakiwaeleza munawaita Wakenya.

We Kenyans raise alarm all the time and we know such things happen. Hapo kwenu mambo haya yanafanyika ila hamtaki kukubali.
Which serious steps have you taken to curb corruption?, This problem had been there since independence and is getting worse and worse. It is time for you to come and learn how we deal with corruption.
 
Kabarabara kembamba kameinuka kwa 8km na 19km zilizobaki ni chini lkn wamepigwa $0.668bn na cost zinaendelea, alafu wanataka kufananisha na hii the giant xpress way ya Mu7[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Entebbe-Expressway.jpg
Image-2-Kampala-Entebbe-Expressway.jpg
Entebbe-Expressway-1.jpg
 
nimeskia zwazwa anasema thika ni 10 lanes wakat waliojenga wanasema ni 8 lanes nani mwenye akili na mjuaji kuliko mwenzake [emoji23][emoji23]
Maneno 10 ya mkenya usichukue hata Moja, hao hawana wanaloliweza zaidi ya kupenda sifa na kudanganya
 
Back
Top Bottom