Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

c6e2849191348877dbbf92afa103e045.jpg
b49e229bb4b7ade5448e29dadd7f68e9.jpg
3c1e50a2e005f1d7ed42ebb7d5d055d0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo domo domo nyingi hamna kitu uku wakenya wasiwadanganye hawa ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
bora upite tu haujajua maana ama mantiki ya hii battle ni nini........na kwanini imeanzishwa......hii thread watu wameanza nayo mbali sana .....hapa huwa tunabishana kwa fact......huwa hatukurupuki ndugu kama ungekuwa na akili timamu ungeifuatilia kwanza ilipoanzia .....hapa hakuna cha uwongo hata kidogo kwani kila kitu huwa kinaenda kwa fact hii thread ipo kwaajili ya kujenga na sikubomoa kama jinsi ulivyoikurupukia......nataka utuonyeshe ama utujuze ni kitu gani cha uwongo kilichozungumzwa,,,?..karibu sana.....tumekustahi la sivyo ungekula matusi kwanza kutokana na ukurupukaji wako haya jibu nilichokuuliza
 
Back
Top Bottom