Yaani jiwe la msingi liwekwe April flyover ikamilike Aug? Unadhani kujenga flyover Ni kama kupika kande sioOuter Ring Road taking shape. 70% Done. Is the Ubongo flyover done? Wabongo nipe habari
![]()
Yaani jiwe la msingi liwekwe April flyover ikamilike Aug? Unadhani kujenga flyover Ni kama kupika kande sio
Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo flyover ya tz kwani zinaundwa na gold coating....HahahaOuter Ring Road taking shape. 70% Done. Is the Ubongo flyover done? Wabongo nipe habari
![]()
Mwakani mtaiona Tazara maana mnakua hamuelewi....nadhani siku ya kuzinduliwa mtaandaa makala yakuikosoa Kiongozi akiwa wanjala...picha mmeshaziona imeanza kuinuka itakua na bridge is 425 M,iyo ni barabara ya kwenda airport na kurudi town...

Ubungo bado wanakazi kubwa pale hadi ianze kuinuka itachukua time Ile itaisha miaka 3 badae
Sent using Jamii Forums mobile app