RICH Ila hawana hela ya mafuta na ya kuendesha BRT yao ?, Dar toka ianze haijawahi simamisha huduma pamoja na changmoto zote. Mpaka hapo hatufanani😎Unajua Accra ni rich kuliko dar?iyo inamaanisha nn?
Jamaa hana research, anaropoka tu huyo kilaza.. kisa kaona ghana ni top gold exporter 😂😂😂RICH Ila hawana hela ya mafuta na ya kuendesha BRT yao ?, Dar toka ianze haijawahi simamisha huduma pamoja na changmoto zote. Mpaka hapo hatufanani😎
View attachment 2130950
Buza Kwa mpalangeInawezekana Dar enyewe unaishia kuiona kwenye picha tu 😂😂😂, unaishi wapi mzee.?
kumewaka jamaa wa ukrane kwa sasa anawalaumu marekani na umoja wa ulaya
Daah kazi ipo uko jamani sipati picha
Mji ndio kwanza unaanze, alaf anatokea kilaza mmoja ana ulinganisha na Dar 😂😂 hizi aibu zingine bhanaMkuu kweli unamin Dar imezidiwa na hiii[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 2130938View attachment 2130939
Ushawahi kufika Dar.?Buza Kwa mpalange
Nimeuliza unaweza linganisha Mombasa na Mwanza?mombasa kuna nini cha zaidi?
Ushawahi kufika Dar.?Buza Kwa mpalange
ni nomaaA facility that the whole of Kunyaland dreams to have!
ogopa kudindia wanaume kisa unategemea bwana atakukinga! Pambana kijana kiume wacha vita kwenye media! Mmarekani kashatia mfukoni $1.5 bln ya silaha ulizonunua!NEWZ KIDOGOView attachment 2130961View attachment 2130963View attachment 2130964
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ndio ujue wazungu waoga na waongo angalia visunctions wanavyompiga navyo urusi havina ata nguvukumewaka jamaa wa ukrane kwa sasa anawalaumu marekani na umoja wa ulaya
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
huyo pres. wa ukraine hana akiliogopa kudindia wanaume kisa unategemea bwana atakukinga! Pambana kijana kiume wacha vita kwenye media! Mmarekani kashatia mfukoni $1.5 bln ya silaha ulizonunua!
Huo mji wa ghana hauna hata CBD hata wao wenyewe wa ghana wanasema kuwa mji wao bado sana hauna hata cbd ukubwa wa accra ni km²171 tu na unawatu mil1.8 to mil 2 tuIla leo nimecheka humu [emoji23][emoji23][emoji23], huyu tuusan sijui kama ni mzima sawa sawa, hiv kwaakili zako ka mtaa haka [emoji116]katakuwa kana shughuli za kiuchumi nyingi zinazozalisha kipato kingi zaidi kuliko Dar.? owky tufanye majengo marefu sio kigezo bas twende kwenye shughuli za kiuchumi tu.. wachana na vi article vya kuokota okota mpuuzi wewe..View attachment 2130846View attachment 2130850
nimecheka sana,Ndio ujue wazungu waoga na waongo angalia visunctions wanavyompiga navyo urusi havina ata nguvu
Anaishi MAKUNDUUCHI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila alizaliwa JAMBIANI na rojo ndiyo chakula chake pendwa [emoji1787][emoji1787]Inawezekana Dar enyewe unaishia kuiona kwenye picha tu [emoji23][emoji23][emoji23], unaishi wapi mzee.?
Hayo ndiyo magorofa makubwa ghana yote na hapo ndiyo city center yaoMkuu kweli unamin Dar imezidiwa na hiii[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 2130938View attachment 2130939
Du hawa jamaa ni mafukara kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]cheki hiyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utadhani mbugani serengeti ,tz ilikuwa hivyo enzi za nyerereMnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......View attachment 2130766
Singasinga aliye achiwa na mama unamjua ?Huoni Takukuru wanafanya yao? Uliwahi kuona serikali ya awamu ya 5 imekamata mwizi hata mmja? You know why?
Maswali ya Kijinga hayo,kamuulize Waziri husika harafu tuambizane hizi pesa zilitolewa lini? Maana hakuna anaesema mwaka upi zilitolewa.