Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

punguza upumbavu, hujui serikali ya kenya kila kitu imerundika nairobi? TANZANIA is is diffrent, keki ya taifa imegawanywa katika maeneo yote ya nchi.
Wewe ndio mpuuzi hata huelewi ulichoandika
 
Start & End of elevated section of expressway
FB_IMG_16455451536620687.jpg
 
Attachments

  • tapatalk_1645513090492.jpg
    tapatalk_1645513090492.jpg
    137.9 KB · Views: 30
Wewe jamaa unakuwaga kama hujaenda shule,

Unakuwaga kama vile hujaenda shule kbsa.
Hiyo orodha kaiandaa raia wa Ghana,halafu unategemea aitoe nchi yake kwenye list? Hakuna kitu kama hicho accra itabaki kuwa level za Arusha imeisha hiyo.... Huyu jamaa mama yake ni mghana halafu baba mnigeria (Igbo)[emoji116][emoji116]

View attachment 2130744
Iyo ni source yako,sasa tafuta any other credible source itakayoonyesha otherwise...ukiipata utakua sahihi kunizidi,nachokueleza ni kwamba Accra wanapesa kutuzidi,mmekaa kujidanganya hapa hadi vitu viko wazi mnabishabisha ili nn
 
Wewe shandazi rudi mumu wanakutafuta huu uzi siyo saizi yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kule mumu kuna wimbo mpya wa zuchu nenda kachangie
 
Mnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......View attachment 2130766
Hizo nyumba pembeni ya interchange ni za udongo ama? So that flyover alone inakufanya kuona Accra ipo more developed than Dar! beautiful grandiose interchange but if u look careful u see those for roads end up to two lanes road aside the fact most streets in that surburb r dusty! Huu ndo ujinga wa Ukunya kule Ghana!
 
doesnt dar has such funny houses all over....are you for real.Accra imewazidi
 
Upo ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye hii serikali billion 16 zinatumikaje kwenye kuajiri, hiyo ni mishahara ya miaka mingapi kwa idadi gani?

Huoni Takukuru wanafanya yao? Uliwahi kuona serikali ya awamu ya 5 imekamata mwizi hata mmja? You know why?

Maswali ya Kijinga hayo,kamuulize Waziri husika harafu tuambizane hizi pesa zilitolewa lini? Maana hakuna anaesema mwaka upi zilitolewa.
 
Back
Top Bottom