chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Kama your top notch Karen ndio hii mna ubavu gani wa kupinga Mwanza?kwa hii speed unaendea nayo hauko mbali kusema New York itasubiri Sana kufikia level ya chato😄
Hii Karen ina tofauti gani na zile nyumba za mbagala mkizizoom?