Kenya na Zimbabwe ni dugu moja hata umaskini inaanza Zimbabwe inafuata Kenya.
wanasema football si muhimu kwao, hatimae wamepigwa na kitu kizito sana kichwani
Kenya na Zimbabwe ni dugu moja hata umaskini inaanza Zimbabwe inafuata Kenya.
Ban inabidi iongezwe japo miaka mitano mana sio wastaarabu hawa mbuzi, eti wanashindwa kulipia hotel wachezaji wao wanalala airport daahhhwanasema football si muhimu kwao, hatimae wamepigwa na kitu kizito sana kichwani
chuga ndio atleast town poa tz,CHUGA skyline inazidi kuwa hatari View attachment 2129891
Hata mimi namshangaa sijui anazungumzia development gani. The city haina hata maps za transport networks sijui wageni wana navigate vipi Nairobi au ndio mpaka umlipe mtu wa kukuongoza?Most developed city isiyokuwa na BRT, electric train wala tram ndiyo kwanza naskia kutoka kwako![]()
Nairobi ina makosa ya kiufundi mengi sn ila ndiyo wamejua miaka ya hivi karibuni baada ya kuanzishwa battle hii.Hata mimi namshangaa sijui anazungumzia development gani. The city haina hata maps za transport networks sijui wageni wana navigate vipi Nairobi au ndio mpaka umlipe mtu wa kukuongoza?
Mfano mdogo tu Nairobi ni miongoni mwa majiiji machafu zaidi barani Africa, pili ni miongoni mwa majiiji yenye slums nyingi duniani, yn mzungu ukimtajia Nairobi basi ukae ukijua picha ya kwanza itamjia slum baada ya hapo itakuja wizi, mwisho ndiyo zitakuja sura za watu weusi wembamba waliovaa vichupi huku wakikimbia.Nairobi ina makosa ya kiufundi mengi sn ila ndiyo wamejua miaka ya hivi karibuni baada ya kuanzishwa battle hii.
Wakenya wana maisha magumu kuliko mawe, we angalia hata hawa tunao battle nao humu wengi wao hawana makazi maalum yn km yatima jinsi walivyo wanyonge, kitu pekee wanachotamba nacho ambacho wenyewe ndiyo uwanja wao wa kujifariji ni broken English baasii.ila wakenya, for different kinds of reasons mnatia huruma sanakila sehem matatizo
![]()
Haiwezekani kwa GDP yote hiyo labda kulikua na joto wakaona heri walale njeBan inabidi iongezwe japo miaka mitano mana sio wastaarabu hawa mbuzi, eti wanashindwa kulipia hotel wachezaji wao wanalala airport daahhh
Kenya ni nchi yenye maajabu duniani mkuu.Haiwezekani kwa GDP yote hiyo labda kulikua na joto wakaona heri walale nje
Hizo majengo zote hapo nyuma hujaona, ni GTC tu ndio umeona?!Ni sahihi kusema wachina wamewapa muonekano mpya Maana expressway wametoa hela na izo majengo pia wametoa hela
Huu umaskini?Kenya na Zimbabwe ni dugu moja hata umaskini inaanza Zimbabwe inafuata Kenya.
🔥🔥 kali sana.! 😆Huu umaskini? View attachment 2130249
Hata kule kwenye meli mza kulikuwa na wanajeshi kibao ila kwa sasa hata jeshi lenyewe limeacha kumtembelea miradiNchi nyingi za kijamaa zimetumia sana wanajeshi. Magu alianza kuutumia mfumo huu, hata baadhi ya wahandisi kwenye mradi wa SGR ni wanajeshi. Tena hizi kazi nyingi za civil kama barabara na vi overpass, wala hatuhitaji wataalamu wa nje. Nakumbuka Magu aliongelea kununua vifaa ili tuweze kujenga reli zetu wenyewe ila kwa kiongozi kama huyu mama yetu ndo basi tena.