Umenena mkuu👍Napendekeza kila MTANZANIA na MKENYA tufanye bidii na tuchukue mabibi kutoka Ukraine,tusaidie dunia kwa jinsi tunavyoweza😍
Vitu Vizuri vinateseka na tupo hapa!!
Tusiteseke na malokali tena!!Tupande internationali🔥🔥
Kwamba uwanja umejengwa kwa bil.500? Hebu tupe uhakika.nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m [emoji44]..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity
na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m
kazi kwetu Tanzania!
Hapa sikubaliani,kwamba viwe tu viwanja vya kawaida kama Cha MKapa,inakuwa ni kutotendea haki michezo mingine.Mzee tunahitaji FIFA standard stadiums hiyo $270 mln inajenga viwanja vitatu tanzania vya level ya Mkapa. Kuwa nazo hizo fedha mkononi halafu tangaza tender! ukichukua mkopo haki ya nani unagongwa, na hii ni kiashiria cha Mikopo ya kiduanzi yaani SGR Kunyaland style.
👊kabisaUmenena mkuu👍
Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!Hapa sikubaliani,kwamba viwe tu viwanja vya kawaida kama Cha MKapa,inakuwa ni kutotendea haki michezo mingine.
Stadium ina comprose standards za viwanja kama vya Olympics.
Dodoma rnda ulinganisheinternational airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstrip
Angalia aircraft zinahudumiwa Kisumu airstrip
nimewatch hiyo video yako nikachoka tu😁. reminds me of chato international airportinternational airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstrip
Angalia aircraft zinahudumiwa Kisumu airstrip
Chato pia ni level juu ya Kisumu airstrip, angalia size ya ndege zinatua Chato airport!Dodoma rnda ulinganishe
nimewatch hiyo video yako nikachoka tu😁. reminds me of chato international airport
Mkapa bado ni ya mazoezi while kasarani is busy hosting world championships😂😂😂Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!
Ile chato mnanikia mpunga hama kuna chato ingine😏,,,bongolala banaChato pia ni level juu ya Kisumu airstrip, angalia size ya ndege zinatua Chato airport!
VS
Kisumu airstrip
Michezo sio mpira wa miguu tuu,unaelewa hili? Hao wengine hizo venues watazitoa wapi?Kama FIFA wameupitisha wewe ni nani kubisha? Uwanja wa $270 mln for what kwani sisi tunashiriki Premium league kusema zitarudi? Uwanja wa Mkapa timu kibao za Ulaya zimefanyia mazoezi! Na hauna mpinzani East Africa!
Ikiwa kweli wachina watakua malaghai sana yaani wanamkamua ng'ombe maziwa hadi inatoka damuile SGR viaduct pale Tsavo naskia ipo mbioni kudidimia pia!
Wenyewe tulishakubaliana njaa iko northern part tu . Sasa putin mbona anatukosea heshima kiasi hicho? Hila wakunya kimbelembele sananajua ni uongo ila nmecheka kinoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2129455
tulisema hii vita haitoingiliwa na atakayeingilia basi inakuwa vita kubwa,