Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
Nzuri kuliko most of their airport buildingsHii Ndio stendi sasa sio ile yao wanaiita ultra modern kisa tuu kuweka tv sasa hii yetu tutaitaje futuristic beyond human imagination bus stand![]()
Nilishawahi kushushiwa pale SHELL South C nikashangaa sana hakuna amenities ambazo ni essential kwa traveller kama tunazozipata huku Tz.Wakenya hawana stendi abiria wao wakisafiri wanashushiwa kwenye vituo vya mafuta au masoko ya mama mboga kama mnabisha njoeni mniue npo kigambonii
Their audacity is unmatched
I know Kenyans very well utasikia kesho na wao wanakuja na mpango wa tram just to play catch up game lakini wanasahau kuwa hawana space ya ku erect tram infrastructure in Naipori.Ntajirudia. Ni rahisi Mimi Mashashola kua rais wa Tanzania kuliko dar-is-a-slum kupata tram services
kwa hivyo Kitengela na Athi River ziko Dar? What a lame excuse!Tuoneshe hiyo 30+KM distance, maana google inatuambia sehemu iliyojengwa mbali na Nairobi Central ni maxmum of haizidi 23KM
View attachment 2128702
Dah!, haka ni katown aisee
Geita Gold MineGGM ni nani?
Kwamba huamini au unabisha???Thanks for posting stolen pictures and drawings.
😂😂😂 Is ki poison even closer to this 👇kwa mbaali kuna Crane inayonyanyua jengo la 18 storeys, hili litakua ni jengo la 10+ with more than 10 storeysThumbnail pekee ni trash. Hakuna haja ya kufungua hio video nione mediocre stuff.
Habari unayo pitia juu hapo.. by the way hizo estates zengine nimetaja hapa mtatafuta wenyewe google Earth, msinichoshe.. kuanzia leo musiitaje tena Kisumu humu ndaniKisumu is better than Arusha.
akili yako bado ndogo sana. gdp size ikiwa pamoja na gdp per capita ya nchi flani ndio ratili kamili ya kupima uwezo wa nchi flani kwa chochote. yani kila sekta..GDP and Gdp per capital hazina uhusihano na health...
Labda HDI na HDI ina components nying na hio ni data ya 2019 ..plus GDP ya Tz sio 65 ni 69bn na Per capital 1150
Kwahyo siku hiz ni battle ya DSM vs Kenya au.?Kwani Kitengela na Athi River haziko Kenya?
Wakenya wanashida sana mwaka huu ndio tutaona kale kamchezo cha GDP na currency management kinaendaje majibu yako njiani soon big bang on the way vital signs are all over the place unless WB and IMF intervene as soon as possible.Wakenya tz gdp ni $69b as per last yr review...mbona mmekomaa na $65b?
Hakuna loans wala equity hapo ni cash money.From 0 to hero . Hili jambo kubwa sana ndio maana kuna watu wamebaki kusema wa GDP kubwa . They can't afford to purchase even food. Hapo waanzishe safari za west and north Africa , and middle East as wellView attachment 2128681

Route kuelekea Airport from city center needs massive infrastructures na nafasi inaruhusu,piga BRT katikati pembeni piga tram. Ni kama 7 km tu.Iwe hivyo, hii Dar yetu watuache na brt inatutosha ila waongeze route tu, trams ziende Jiji la kisasa Zaid East and Central Africa.
Tram ya umeme ni nzuri sababu inapita kwenye njia yake hivyo uitaji ukani wa kucontrol lewa na dereva na kuitaji umakini wa dereva haupo ,pia hazialibiki hovyo kama mabasi wala gharama za mataili hazipo maana kunaupigaji mkubwa kwenye brt kwenye mataili gear box nk ,watu wanapiga mamilioni ,pia tutaondokana na utegemezi wa mafutaIwe hivyo, hii Dar yetu watuache na brt inatutosha ila waongeze route tu, trams ziende Jiji la kisasa Zaid East and Central Africa.
Yani vile cranes zimejaa Kilimani, Upperhill, Westlands and many other areas in Nairobi that are experiencing a construction boom nashangaa mtanzania anaona crane ya ujenzi kwenye picha ya Dar had anaicircle in red!!! 😂 😂 😂 Wakija Nairobi si watarudi kwao kwa mshangao jinsi cranes zimejaa huku?!Hii page sidhani kuna mtanganyika amefika Nairobi.....the ignorance be extremely shocking
Tulishakubaliana it`s Dar Vs Westlands of which hata westlands inashinda Dar.Kwahyo siku hiz ni battle ya DSM vs Kenya au.?

