Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwao
Hata economy yao ya mchongo imepewa majina matamu tuu such as the biggest, the most advanced, at per with SA, Egypt and Nigeria etc [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwao
Kiongozi kitu cha kupewa huwezi chagua anayekupa ndio anaamua akupe nini ila kama umetoa hela mfukoni unachagua unachotaka kwa jeuri hiyo ndio tale of two sister countries in EA.
 
Same question to Chang'ombe , maana inaonesha inakua kama ya tazara kwa macho labda wataalamu wanajua zaidi , kimsingi BRT inabidi waipitishe juu kuondoa unnecessary traffic jam
Inapita chini katikati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…