Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Boss, I'm not going to waste my time arguing with someone who compares this tiny gated community to Karen, lol.

Goodbye
Karen is over 70km square, bigger than many cities in East Africa
IMG_20220221_213816.jpg
 
Halafu hapo hapo Karen kuna gated communities nyingi kubwa kushinda hicho ki-Avic na zina Nyumba several times bigger. Yaani nimecheka tu nikaachana naye. 🤣🤣 Huyu mtu anajua size ya Karen? Mwambie kwa ukubwa Karen imeshinda Arusha yote.
Usijitie ukichaa usiokuanao bro.. ulitaka quality streets na ukaonyeshwa .. now unabidilisha gear eti nalinganisha gated community na kamji kadogo chenye kapo na poor roads 😂😂, we ni tahira sana
 
Iko na quality roads.? au Unatafuta Arial view tu kuficha upuuzi.? Masaki is better than this overrated 🚮 .. mitaa yake ipo hivi 👇View attachment 2126373View attachment 2126374View attachment 2126375

View attachment 2126376
Overrated? 😂 😂
Siku masaki yenu itafika hii level njoo tuongee.

Karen inacheza ligi moja na mitaa tajika duniani.
 
Hako ka mama ka Chadomo huwa kama payuka tuu hovyo.

Siasa ya Tzn inategemea msimamo wa aliyeshika kijiti.

Aliyedai hatupendi Ulaya kuomba tunajenga kwa pesa zetu ni matokeo ya Wazungu kuzuia pesa kwa mambo ya kisiasa ikabidi propaganda za kufariji watu zitungwe.

Kilichoitwa pesa zetu kikaishia kuwa mikopo mikubwa ya kibiashara.

Technically Tzn ni maskini bila support hatutoki,jambo la msingi sio tuu support za pesa bali support za teknolojia,fursa za biashara na elimu ndio zitatukwamua.

Watzn ni Kazi sana kuwaelewa,Saizi watamlaumu Samia kwamba anatembeza bakuli na Kukopa Sana wakati huo huo Bungeni akina Polepole wanasema tozo ya miamala ni kubwa.

Sasa unajiuliza Kodi hutaki,mikopo hutaki na misaada hutaki,sasa utaendesha vipi Nchi?

Ndio maana Samia ana Msemo wake kwamba Watu watasema kwa chochote utakachofanya,ni bora ufanye unachoona ni sahihi na bahati nzuri sio Rais wa mihemko kama Mwendazake.👇

2935085_FB_IMG_16307140795615105 (1).jpg
 
Acha kuwa mzembe mzee .. hii ni screenshot nimepiga sasahiv kutoka google Earth ukionyesha Daraja la Tanzanite unfinished 👇View attachment 2126394while Daraja lilianza kutumika tangu Mwezi wa kwanza 👇View attachment 2126396kwahyo kwa bongo hapa ikipita hata miezi tu tayari ni historia mzee.. we unazungumzia video ya last Two years kweli.? And u expect things to be the same...? U ar not serious
Sawa, ndio hiyo Google maps yako ukizoom. Unpaved roads tupu - your best estate. 🚮🚮

1.jpg
 
Yani mtu ako tu serious analingnisha Karen, an area measuring 56 square kilometers, na gated community the size of Greenpark in Athi River. Mibongolala kwa ubishi hawajambo
Wewe ni matako, ni wewe uliepost hii 👇
Mwenzako aka comment huu upupu na uli like 👇
Hii quality huwezi ipata bongo.
Na akajibiwa 👇
Unalia nini sasa.? 😂😂😂
 
Magu alikuwa kipanga kivipi, enzi hizo akimaliza kidato Cha sita alipata daraja la ngapi lililomfanya akasomee diploma ya kemia ya ualimu badala ya shahada.
Nimemuuliza huyo jamaa anipe matokeo yake na mimi nimpe yangu tulinganishe.

Pili Mwendazake alisingefoji PhD Kama ni kipanga.

Takwimu za Nyerere zipo,MKapa zipo,JK zipo ila za Mwendazake ni za kuunga unga ndio maana hakuisha kujitutumua almaarufu kujimwambafy.
 
Acha kuwa mzembe mzee .. hii ni screenshot nimepiga sasahiv kutoka google Earth ukionyesha Daraja la Tanzanite unfinished 👇View attachment 2126394while Daraja lilianza kutumika tangu Mwezi wa kwanza 👇View attachment 2126396kwahyo kwa bongo hapa ikipita hata miezi tu tayari ni historia mzee.. we unazungumzia video ya last Two years kweli.? And u expect things to be the same...? U ar not serious

Sawa, ndio hiyo Google maps yako ukizoom. Unpaved roads tupu - your best estate. 🚮🚮

View attachment 2126419
Ila we jamaa unahangaika sana 😂😂 google Earth inaonyesha daraja la Tanzanite bado halijaisha ujenzi while daraja tangu lianze kutumika ni mwezi sasa, hapo juu kwenye post yangu, na nikakueleza kila kitu, bado huelewi, umerogwa.?
 
Si ni wewe uliyeleta Google earth Mwenyewe, sasa mbona unalia? Ama kuna Google earth mara mbili?🤣🤣
 
Overrated? 😂 😂
Siku masaki yenu itafika hii level njoo tuongee.

Karen inacheza ligi moja na mitaa tajika duniani.
Acha upumbavu wewe kwa barabara zipi.? Hizi au..?👇au unamaanisha dunia ipi kwanza.? hii mitaa ipo hovyo tu kaka, usipoteze energy yako kutaka kusifia upuuzi unaonekana kwa macho .. hizo article zisikufanye uonekane mjinga..
maxresdefault(91).jpg
karen-road-karen-nairobi-kenya-KXDM4G.jpg
Karens-green-suburb.jpg
Karen-Nairobi-street-pic.jpg
 
Huyo kilaza amejifunga own goal 😂 😂
Halafu anasema eti Tanzanite bridge haijaisha ni kama ilijengwa 1960. Yani bridge imejengwa last year, meaning the images are from last year jamaa anakataa. Hawa watu wabishi yani. Tuseme between last year and now hivyo vibarabara vyote vimeshatiwa lami?🤣🤣
 
Back
Top Bottom