We ningekua karibu na wewe wala nsingekua na haja ya kuomba papuchi, ningeanza tu kukushikashika na kuzamisha njunjunju. Baada ya hapo utaaanza kusoma na kuelewa.Hela inayo kaa bure ina maana ilikua haina kazi, we sema wapiga dili walicheza dili wakachors ramani na ikaingiliana na kuamua kujitengezea mrija wa kunyofoa kw miaka kadhaa..
Nikikuuliza hivi una tipoti yyte ile kuhusu hzo returns, serekali yenu imeshindwa na nini kulipia wananchi wapite bure..si nyie mnajali wanyonge bana hivi imekuaje daraja la kwenda kw wanyonge liwe mnalipia toll..
Poleni sana
Brt kenya ingekuwa ni ndoto kama siyo jpmMbona umekata tamaa mapema hvo mjuba
JPM katufanya tuongeze kasi kivipi na wakati sisi tunafanya miradi yetu tu ile ya kawaida..sema labda tumeileta mbio mbio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio ujue ilivyo rahisi kuongoza wakenya, hapo ni uhuru kawadanganya hivyo 😂😂😂😂😂SERVICE ECONOMY? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] stage zingine wameruka au wameshapita siku nyingi.
Hebu fafanua hii mkuu, wanareplace BRT roads kwakuweka trucks za tram au wanajenga sambamba?Tram zinakuja kwenye BRT, majirani mjiandae kuja kushangaaView attachment 2125259
Maji yanayo vuja ni mengi kuliko anayo jaza mama tatizo lipo hapo ,kakosa uthibiti wa mambo ya msingi ,kuakikisha wafanyakazi wa serikali wana simama kizalendo na kukomesha wahuni serikaliniHuyu mama nae sometimes ana namna yake ya kufanya kazi.. She can do better let’s pray for her.
Sema mama angeomba transfer of knowledge kwa engineers wa TZ ili kuepusha huo utegemeziSidhani kama hili ni wazo zuri, haya mabasi ni ghali na yatatengeneza utegemezi zaidi kwa wafaransa.
Tulishakuwa na mpango wa kutumia mabasi ya gesi, tungeweza hata kutumia kampuni zetu za ndani kuchongesha bodi na kutengeneza mabasi ya kutumia gesi.
Maisha Kenya ni magumu usipinge, ndio maana wakenya wengi wanaomba wangezaliwa Tanzaniawee kwenda huko 1kg sugar ni 130/- (tsh 2,600) nimenunua jana naivas
Overpriced , sio kila store in kenya unaenda kununua bidhaa..wao wenyewe hao wamepiga picha tu wala hawakununuaSi huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 [emoji23][emoji23][emoji23]
MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi[emoji28][emoji28][emoji28]
Kenya is a market based economy we punguaniSi huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 [emoji23][emoji23][emoji23]
MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha siasa chief, uongo mtupu. Turudi kwenye kupost projectsKikwete ni kiongozi bora aliyeleta mwamko mpya kwenye sector binafsi ni kipindi chake sekta binafsi ilikua sana uongozi nauchumi sio kugusa vitu vichache na kudunda navyo it is wide and integrative phenomenon.Angeweza kutumia vilungu kuzima ukosoaji lakini kwa ni kiongozi wa kileo hakutaka kuingia huko kama JPM huku akijua umaarufu wake ungeingia hatarini.JPM alipambana kumzima umaarufu ili watu wapoteze legacy ya aliyepita ni kawaida katika uongozi kutumia mbinu ili watu waondoke kwenye kivuli cha mtangulizi.In my opinion JK anabaki kua bora kwenye uchumi japo kulikua na madhaifu kadhaa but that is humanity.
Una vituko wewe jamaa,kwa hiyo wewe ulisomea Kiswahili? Weka vyeti vyake kuanzia O level na A level na mimi nikupe vyangu.
Kusoma Sayansi ndio nini? Nyerere na MKapa walisoma science? Wale rekodi zao zipo na walikuwa bright na kuongoza darasani.Za Mwendazake ziko wapi?
Kipanga hawezi foji PhD [emoji13][emoji13][emoji13]
hebu jitete na hapa plz 👇👇🤣🤣🤣Overpriced , sio kila store in kenya unaenda kununua bidhaa..wao wenyewe hao wamepiga picha tu wala hawakununua
20 litres ni ksh 3000 na hapo imepandaView attachment 2125764
hebu isaidie serekali yako mawazo🤣🤣Overpriced , sio kila store in kenya unaenda kununua bidhaa..wao wenyewe hao wamepiga picha tu wala hawakununua
20 litres ni ksh 3000 na hapo imepandaView attachment 2125764
NSSF ni taasisi ya dubai, lkn la japan bure kuvuka[emoji1787][emoji1787]
NSSF huku wanajenga majumba mzee wala sio barabara za public kw ajili ya tollHapo kunyaland mnalo lipi?
Tupe list ya bidhaa km kumi tz tulinganishe na kenyahebu isaidie serekali yako mawazo[emoji1787][emoji1787]
yani kwenye suala la chakula au bidhaa za chakula huwez fananisha bei tanzania na kenya na ndio maana munalalamika kutwa 😂😂😂😂Tupe list ya bidhaa km kumi tz tulinganishe na kenya
uhehehe mbona kama unalia hvi 🤣🤣🤣NSSF huku wanajenga majumba mzee wala sio barabara za public kw ajili ya toll
Hyo si alikua akimuita ruto mwizi[emoji1787][emoji1787]hebu jitete na hapa plz [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]