Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP has nothing to do with population

GDP can be bigger just because of reckless government spending

GDP = private consumption + gross private investment + government investment + government spending + (exports โ€“ imports).
 
JPM alikuwa kipanga wa wapi? [emoji1][emoji1].

Uzuri ni subjective.

Hakuna Rais wa kumzidi Samia kwa mambo aliyofanya mwaka mmja wa uongozi,narudia hayupo .

Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
 
fuatilien hii hashtag,
linganisha na wanayosema humu
Si huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…


 
Kumbe KG 1 ya sukari Kenya ni 5000 ๐Ÿคฃ sasa naiona Zimbabwe mpya ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ
 

SERVICE ECONOMY? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] stage zingine wameruka au wameshapita siku nyingi.
 
Nadhani amesahau kikwete alipoingia bungeni kilichotokea na baada ya pale ndipo tulipoanza kuona juhudi za kumchafua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
Una vituko wewe jamaa,kwa hiyo wewe ulisomea Kiswahili? Weka vyeti vyake kuanzia O level na A level na mimi nikupe vyangu.

Kusoma Sayansi ndio nini? Nyerere na MKapa walisoma science? Wale rekodi zao zipo na walikuwa bright na kuongoza darasani.Za Mwendazake ziko wapi?

Kipanga hawezi foji PhD ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mwana uchumi mzuri.Politics is all about economy and Law na sio physics sijui daktari nk
 
just like it's other emerging market counterparts, kenya's economy is a service driven one. 62% comes from financial and telecommunication service sector, only 22% agriculture


 
Tangu uanze huu ukosefu wako wa adabu umesaidia nini nchi?
Huu ukosefu wako wa adabu ndo unaleta siasa za kijinga humu.

SSH ndo rais wa JMT na hakuna kitu utafanya. (Hii ipenye kabisa kwenye ubongo wako)
Huyo SA wako ni mpuuzi tu na sisi tunapinga upuuzi ,ona sasa anataka wafanyakazi wa serikali wataje dini na kabila zao ,pia nanayumia mamilioni ya pesa kwenye sensa wakati vitambulisho vya taifa vimekwama ,sasa hapo upumbavu ni kwamba vitambulisho vya taifa vina taharifa zote za wafanyakazi wa serikali pamoja na makabila yao ,kwanini wasitumie hivyo kujua kabila hapo ni mambo ya ufisadi tu kunawahuni wa sa100 wananufaika na huo upumbaavu,moja ya kazi ya vitambulisho vya taifa vya kisasa ni kuwa na taharifa zote za mtu husika,
 
tanganyika have all the rights to beat us in terms of purchasing power parity (ppp), due to their big size of population, the way china beats united states for instance.. but you still however find that, we still beat them in this mode of gdp. ie. $250b vs $200b. yani we beat tanganyika from every angle, 'missionary and even bendover' ๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ