Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu ni wewe na unayemtumikia.Leta hizo Takwimu hapo mbona unazungusha kiuno badala ulete data?

Makamasi tuu 😬😬😬
Bichwa tupu πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo utakuta you ar above 40 years πŸ˜‚πŸ˜‚... Ni nani asiejua kwamba each and every single big step tumepiga tz in all aspects ni mjomba Magu ndio alitupeleka huko.?
 
Mimi kusema kweli sikuwa na tatizo na awamu iliyopita na hata Posts zangu humu zinaonyesha hivyo mpaka pale nilipogundua wafuasi kindakindaki wa JPM ambao hawana staha na hawaheshimu mawazo ya wengine! Pia wanaamini wao tu ndo wanastahili maendeleo.
 
ingekua beautiful kweli, shida tu ni venye, its only this one snapshot in the entire tanganyika and zanzibari. just imagine hakuna kwingine kama hapa kwenye nchi kubwa kama tz.. yani hili tu.!
tanganyika is 'one only' in every infrastructure design development
 
Alafu,hivi kuna kenge humu wanajua kwamba Wafanya kazi hewa wamerudi kama ilivyokuwa Kwa Kikwete? Hta hizo pesa Mama anazozunguka kutafta zitaisha mifukoni Mwa wachache? Ngoja watu waanze kuona miradi ya hovyo kama Kenya ndo akili itawasogea
 
Bichwa tupu πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo utakuta you ar above 40 years πŸ˜‚πŸ˜‚... Ni nani asiejua kwamba each and every single big step tumepiga tz in all aspects ni mjomba Magu ndio alitupeleka huko.?
Labda umepiga step za kuongeza u big wa makalio yako.

Nasema hivi leta data,sio kudandia treni kwa mbele hata hujui linaenda wapi we mbwa?

40 michache hiyo, Niko above 50.
 
Alafu,hivi kuna kenge humu wanajua kwamba Wafanya kazi hewa wamerudi kama ilivyokuwa Kwa Kikwete? Hta hizo pesa Mama anazozunguka kutafta zitaisha mifukoni Mwa wachache? Ngoja watu waanze kuona miradi ya hovyo kama Kenya ndo akili itawasogea
Wewe unawajua wangapi?
 
Kwenye suala la ajira serikalini ndiyo aibu kabisa yani tunapoelekea ni bora Kikwete, Mama hana anachojua maskini ya Mungu, watu wanatangaza ajira alafu watu hawaitwi kwenye usaili lkn watu wanaingia kazini kama kawaida, mfano nafasi za TRA zimepigwa kimya kimya. Jamani watz tuna wakati mgumu sn lkn yatapita, wapo watu wanajifanya kusifia cz wana majeraha yao ya awamu ya 5 lkn ukweli wanaujua na itakapofika 2025 hutawaona wakisifia mana ukweli utakuwa hadharani kabisa.
 
Nataka data za Percapita ya 2016 as well as GDP against za 2020.,mbona huelewi? Umejaza makamasi kichwani?

Nataka nithibigishe kauli yangu ya kwamba Miaka yote 6 the economy was struck.

View attachment 2124894
Ukitwa mafiiii bado unakataa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…