The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Ni mambo ya Muungano na yatalipwa na wote ila hakuna sehemu waliposema Tzn au Zanz inatoa kiasi fulani bali ni Kodi za ujumuishi.Kwani Katiba inasemaje juu ya mapato na misaada ambayo iko chini ya Muungano? Kwa mawazo yako Zanzibar na Chato zina hadhi sawa?
We tumbili unaongea uharo gani hapa.Kenge la Njombe hilo kinachomfanya aipigie debe zenji ni chuki zake kwa Magu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka 6 alifanya nn? Aliyeanzisha huu uzi Emc2 alingoja Magufuli aingie ndio aanzishe huu uzi mwaka 2017 kipindi icho we kenge unavuna mbao za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miradi ya Magu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Miaka 6 alikuwa anafanya nini cha maana? Chuki itakuua wewe kenge wa mwendakuzimu.
Kishindo ni hiki hapa,hii ni baadhi tuu naweza kujaza server.[emoji116]
View attachment 2124174
View attachment 2124175
View attachment 2124176
View attachment 2124177
View attachment 2124178
View attachment 2124179
View attachment 2124180
Taja ni mradi gani aliofanya Samia mpk ss licha ya kuchukua mamilioni ya $? Kenge wewe mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We tumbili unaongea uharo gani hapa.
Yule zalimu alituharibia Sana Nchi,Soma kishindo cha mama hapa [emoji116]
View attachment 2124182
Wewe ni mnafki mbwa wewe, wala humkubali Samia sema una chuki binafsi na Magufuli ndiyo mana unajifanya kumkubali sa100 licha ya mapungufu makubwa aliyonayo, Magu ni km maji huwezi kumkwepa na atakuumiza sn km hutaki kukubali ukweli jibwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We tumbili unaongea uharo gani hapa.
Yule zalimu alituharibia Sana Nchi,Soma kishindo cha mama hapa [emoji116]
View attachment 2124182
Izo hadhi mmeanza kuziona awamu hii au sio kwani wanachato hawana hadhi yakupata miradi ya maendeleo ebu acha huo ujinga mzee tukienda kwa staili iyo hatutafikaKwani Katiba inasemaje juu ya mapato na misaada ambayo iko chini ya Muungano? Kwa mawazo yako Zanzibar na Chato zina hadhi sawa?
Huyo mjambiani mpumbafuuu , mwenye nyota ya mafiii sitaki hata kumsikia.Hvi wadau ni mimi tuu Ndio naona au na nyie uko pia ,kila mKopo unaokopwa lazima upelekwe zenji so far tangu maza aingie madarkani almost trilioni moja ishapelekwa zenji sasa naulizaa wale walikua wanasema jpm ni mkabila alikua anapendelea Chato tuu sasa ili swala la maza wanalizungumziaje? ? Fedha zilizopelekwa zenji kwa mwaka mmoja ni nyingi kuliko zilizopelekwa Chato kwa kipindi cha miaka mitano[emoji848][emoji848][emoji848]
Ukiacha vi apartment vya upande upande hakuna jipya mnaloweza ku offer slum country.
Tatizo halipo kwenye kupeleka maendeleo mahali. Tatizo lipo kwenye viability ya maendeleo unayoyapeleka. Huduma muhimu kama barabara, maji, afya na umeme zinapaswa kupelekwa kwenye kila Kona ya nchi Maana ni essential. Lakini huwezi kusema kuwa kujenga hospitali kubwa ya kanda kwenye mji usio na watu hata laki moja ni jambo la busara. Au kujenga international airport kwenye mji ambao clearly haustahili kuwa nayo. Ni heri hizo resources/funds ziwe allocated kwenye sehemu nyingine za nchi! Ama maendeleo yawe viable kutokana na maeneo yanayohudumiwa.Izo hadhi mmeanza kuziona awamu hii au sio kwani wanachato hawana hadhi yakupata miradi ya maendeleo ebu acha huo ujinga mzee tukienda kwa staili iyo hatutafika
Swali kuntu kwa mpumbavu Geza UloleMm sina tatizo, tatizo ni nyinyi mbona saivi hamkosoi ilo jambo
We kima acha kuchanganyq madesa hizo ni barabara mbili tofauti madaraja ,pia nssf ni mali ya serikali ni mali ya watz ,hiyo video inaonyesha barabara na daraja la tanzanite ,,,,cheki dar inavyo ng'aa arafu mbuzi za kibera zina sema ghana ina gdp kubwa kushinda tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati uki google accra unaweza kuzani google imekosea kwa utakayo yaonaBarabara ya NSSF[emoji1787][emoji1787]
Mtz lazima alipe kodi hapo km sio ujinga ni nini...
Huvuki hapo bila ya kulipia ksh150View attachment 2123882
Majizi mnafurahia uzuzu wamama kwa sababu mmepata mda wakuiba tena [emoji90][emoji90][emoji90]ila your days a numberNAMPENDA SANA NA KUMHESHIMU RAIS SULUHU...MAWAZO YAKE YAMEKOMAA SANA NA STYLE YAKE YAUONGOZI NI FIRST CLASS YAANI KAMA WAKENYA VILE....ABARIKIWE SANA HUYU MAMA...
Mnafiki ni wewe na Baba yako,malaika ni nani ambae hana mapungufu Ili tumkubali?Wewe ni mnafki mbwa wewe, wala humkubali Samia sema una chuki binafsi na Magufuli ndiyo mana unajifanya kumkubali sa100 licha ya mapungufu makubwa aliyonayo, Magu ni km maji huwezi kumkwepa na atakuumiza sn km hutaki kukubali ukweli jibwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado tunatamba na miradi ya Magu, nitajie mradi aliofanya Samia, kuhusu kufa mapema hata Yesu, Muhammad, na babaako wote walikufa mapema, vipi unaweza kuniambia nao ni sababu ya pressure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnafiki ni wewe na Baba yako,malaika ni nani ambae hana mapungufu Ili tumkubali?
Kwani mimi napenda sura au chama cha mtu? Sijawahi kuwa mwanachama wa Chama chochote,nimeweka wazi maslahi yangu humu toka kitambo.
Mimi namkubali mtu mwenye sera za Uchumi wa soko,mliberal na mwenye utu na kuheshimu wengine na sio vinginevyo.
Sijawahi na sotowahi mkubali Mwendazake hadi nakufa,nimemfahamu Mwendazake toka enzi za MKapa na nilionya watu mapema Sana hata kabla hajawa Rais kwamba ni mjivini,katili,mwenye kiburi na kujifanya mjuaji wa kila kitu,muongo na zaidi ni mkurupukaji asiyepima matokeo ya kauli na matendo yake..
Mtu wa kuongozwa na mihemko na visasi hafai kuwa kiongozi,sampuli za kina Lisu,Mwigulu na Muhongo,Jobo nk..
Worse enough alikuwa na itikadi za ki utopian kwenye uchumi,mambo yaliyomshinda Nyerere kutokana na sera za kipuuzi ndio analeta kwenye modern world.Ndio maana aliishia kupiga propaganda Ili a survive,style za madikteta..
Kizuri kwake ,he was bold,jasiri asiyejua njia sahihi ya kufikisha matarajio yake akaishia kutumia tisasi [emoji1][emoji1][emoji1].
Watu wa dizaini hii hufa kwa pressure ndio maana alikuwa na huo ugonjwa angali mdogo mda wote kisilani.
Mtu kama Obama,Kenyatta,Kikwete and the likes hawawezi kuwa na maisha mafupi kutokana na kujua kubalance hisia za miili yao.
Hayo sasa ndio mapungufu makubwa,nitajie wewe mapungufu makubwa ya Samia unayoyajua.
Mimi sitaki kusikia upumbavu wa muungano [emoji15]wazanzibar wapewe nchi yao ili wakichinjana tusiusike wala kulaumiwa ,kinacho fanya zanzibar ipate sifa na utalii kukuwa ni bara ,sasa awa wapuuzi wazenji wanatuona wapumbavu .siku si nyingi watajua kuwa awajuiMkuu kama uko honesti hapa JF ndio sehemu tunayotakiwa kupiga kelele muungano uvunjike, zenji ni parasite anaetunyonya damu kwelikweli
Mjambiani [emoji90]anakopa til1.3 kwa mwezi very stupiiidRubbish [emoji706][emoji706][emoji706]..Tzn imeanza Kukopa leo?
Toka enzi za Mwalimu alikopa na akapeleka Msumbiji,Angola,S.Africa,Zimbabwe nk kwa kisingizio cha ukombozi.
Kwani hukulipa? Anakopa kupeleka kwake au Tzn?
Kama vipi katoe hoja ya kuvunjwa Muungano.Hata hivyo Zanzibar imedhulimiwa Sana na Bara ngoja nao wapate haki yao stahiki.
Mwisho Zanzibar hata kesho wanatamani wajitenge ila Bara inalazimisha,na wakijitenga kwa jinsi walivyo wachache na connection Duniani na utalii ,haichukui miaka 5 wanakuwa wameendelea afu Bara tunabakia na fitina kama unavyofanya wewe hapa.
View attachment 2124107
View attachment 2124108
View attachment 2124109
Hapana,Zanzibar ni Nchi ina hadhi ya kupata mgao wa 50/50
Inawezekana unawaza pono zaidi kuliko kufuatilia mambo ya serikali,la hasha unasumbuliwa na Chuki binafsi kwa Samia.Taja ni mradi gani aliofanya Samia mpk ss licha ya kuchukua mamilioni ya $? Kenge wewe mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado wanasema eti hiyo 25/75 ni kubwa..Hiki ni kichekesho Zanzibar sio Chato kwamba ipewe Mgao sawa na Mkoa hata kama ina eneo dogo au watu wachache.Hapana,
Katiba inasema ni 25/75 kama sijakosea. Na hizi kelele za Bara na Visiwani hazina afya kabisa. Hao ndugu zetu they have nothing to loose hivyo twendeni nao taratibu tuu. We need them.