Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha. Hapa ni Kenya versus Tanzania sio Kenya versus USA. Nikisema Kenya ina uchumi mkubwa nailinganisha na uchumi wa Tanzania sio USA. Bado unaamini kwamba uchumi wa TZ ni mkubwa kushinda Kenya? Ni haki yako kuamini chochote unachotaka.
 
tunachoona kwa kenya ni hvi
kenya ni nchi ambayo imefeli kwenye kila kitu sio tu uchumi naongelea kila kitu

huwez kuongelea uchumi ambao unanuka madeni about 9 trillion ksh ilihali nyinyi bado ni developing country

huwez kuongelea uchumi ilihali unemployment rate ni kubwa africa nzima

huwez ongelea uchumi mkubwa ikiwa njaa inawamaliza wakenya takriban kila mwaka na uchumi hauna cha kufanya zaidi ya kutegemea misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa asilimia 100

leo kenya haina hata pesa ya kujenga 5km railway haina hata pesa ya kulipa mishahara wafanyakazi wake ndio yale aliosema dr ndii kua munachukua loan kulipa mishahara badala ya maendeleo

na mm najua kua kenya imeangukia pua japo munajitutumua hapa kufucha aibu zenu ila kwenye dunia hii hamuna cha kuficha

leo kenya inachukua loan from halima to pay peter na muko hapa munashangilia uchumi hvi Tony254 uko serious kweli???😁😁

leo hii tuanzungumza karibia makampuni yote ya kenya yamekufa na hili ukitaka uthibisho nitakuelimisha

ww unaongelea safaricom ilihali safaricom over 60% inamilikiwa na foreign investors
 
H
Hahaha pole sana kwa uchungu, utapona tu. Ila ulichosema hakubadilishi ukweli kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu, taasisi nyingi sana ambazo zipo independent zimekiri hili. Deni sio hoja kwani marekani ana debt to Gdp ratio ya 130% na Japan ndio wazimu ametinga 250%. Halafu Sudan nao juzi wametinga debt to gdp ratio ya 200%. Sie hata 80% bado hatujafika. Lakini ni muhimu Kenya ipunguze deni lake kwa maana deni sio kitu kizuri.
 
mm hua siongei kwa uchungu mm hua nakupa facts hata kama hupendi unafananisha japan na kenya ww uko timamu

japan is developed country and kenya is developing country hii ndio tofaut ya japan na kenya yani kwa lugha fupi japan wako miaka mia tatu mbele kuliko kenya 😄😄😄

na upuuzi muliona nyinyi ni kujifananisha na nchi kama japan na marekani 😁😁😁😁

alaf huyo huyo japan analet misaada na mikopo kenya 👇👇👇👇

 
Kwenye umeme huko usiguse kabisa, Kama ambavyo mlikua hamuamini kwamba tumewazidi Sana katika huduma za Afya(Hospitals), na namba kubwa ya $ millionaires hadi hivi karibuni ndio mumekubali huo ukweli, ndivyo ilivyo katika umeme, Tanzania inaongoza Africa Nzima katika kusambaza umeme nchi nzima, mwakani tutaingia katika orodha ya nchi 8 tu Africa Nzima zilizofikia "Universal electrification".
 
Hahahaha, Tony naona kichwa kimepata moto Leo, unadhani nchi kuagiza bidhaa nyingi kutoka nchi zingine(Imports) ni positive or negative [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchaga ndio mtu ambae kw tz kidogo ana uelewe wa biashara
 
Hahaha. Hapa ni Kenya versus Tanzania sio Kenya versus USA. Nikisema Kenya ina uchumi mkubwa nailinganisha na uchumi wa Tanzania sio USA. Bado unaamini kwamba uchumi wa TZ ni mkubwa kushinda Kenya? Ni haki yako kuamini chochote unachotaka.
Yeah naamini hivyo kwa kuangalia financial muscles ambayo Tz inayo, je wewe huoni?
 
Hawa c walisema hawapewi grant hawa imekuaje tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakulungwa Siku ya wapendanao leo, wale wa kaskazini wanateseka wakiwa wapi? [emoji1787] [mention]ichoboy01 [/mention] tuseme hujapata hata mtoto wa kisumu mpanda baiskeli ? [emoji1787]
 

Attachments

  • IMG_4668.jpg
    1.6 MB · Views: 42
Tony mbona unazungumzia vitu vya hovyo kiasi hiki?
1)Nchi kuwa na "imports" kubwa hiyo ni dalili mbaya, hasa kwa nchi ambayo ambayo ni "Agricultural and Manufacturing based Economy" Kama Kenya, hiyo maana yake ni kwamba uchumi wenu unaelekea kubaya Sana.

Nchi zote duniani zinapunguza imports na kuongeza exports, vipi wewe unasifia kitu cha hovyo kiasi hiki?.

Kuhusu uwekezaji, kila nchi inajitahidi kuvutia "investments(FDI), Tanzania tumefanikiwa Sana kuwavutia wawekezaji toka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya kutokana na mazingira mazuri kuanzia 1)security, 2)Land, 3)raw materials 4)Big internal market, 5)Cheap electricity, 6)less corruption, Mambo ambayo hayapatikani Kenya, vipi investors atoke Tanzania kwenye vitu vyote hivyo aje kuwekeza Kenya nchi ya hovyo?.

Kitendo cha makampuni mengi ya Kenya kuwekeza Tanzani ni Negative score kwa Kenya, hupaswi kusifia hilo, hiyo inapandisha uchumi wa Tanzania na kudhoofisha uchumi wa Kenya kwa kuzalisha ajira na Kodi kwa Tanzania
 
Wacha kujidhalilisha katika hili, uchumi gani huo uliosoma?, Budget ya Kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria, hushangazwi na hilo?, mwisho utasema miradi mingi ya Kenya imekua ikitumie pesa nyingi, Bei zinaongezwa mara dufu ya Tanzania kwasababu uchumi wa Kenya ni mkubwa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…