Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAWEWE NAWE UMEMUUNGA MKONO CHOKORAA MWENZAKO UMEAMUA KUTOA POINTLESS[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

vipi kuhusu hapo chini,hizo cars zenu ambazo ni scrapers zipo kilimani ai tambalale?


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
haibadilishi maama,hata ingekuwa high vipi hiyo sehemu ingeweza kukaa straight sababu hata urefu wa kupanda juu kupita hilo eneo ni easy ,ingewezekana bila longolongo,kilichofanyika hapo ni nothing

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli hapo kwa Magu kujenga JNHPP na SGR kilomita zaidi ya elfu moja, ilibidi mtu kama yeye mwenye mbegu nzito ya kidume kujenga. Viongozi wengine ni waoga tu, wanadanganya wananchi ili kupata kura tu ila hawana nia ya kujenga miradi mikubwa. Japo sikufurahishwa na jinsi Magu alivyoichukia Kenya, lazima nimpe hongera kwa udhubutu wake wa kuanzisha some of the biggest projects in East Africa.
 
kama Geza Ulole uko gikombaa.. please please wasabahi sana masera wangu flani, wachaga toka tz. wako hapo chini ya transformer along the main gikombaa path (lane). wanauza jumpers pekee. kuna mchizi flani inparticular anaitwa 'kichwa', mgotee sana na umshow yule customer beshte wako anaitwa 'engineer' kakutuma
 
hawa ni waTz nimewajua since 2013. ni vijana ambao wanajituma sana kazini... 🔥
 
mbinu=formulae,...
sasa hio ndo unayoiita vocabulary kweli.?. 'mbinu' is a very common word, eg. "ulitumia mbinu gani kuendesha gari kwenye matope mazito.?" etc etc



to me 'muundomsingi=foundation/basic/primary'.. makes more sense, because you need basic amenities like roads, schools, hospitals, water, electricity etc. to enhance the growth of a country. yatafakari hayo🤔
 
lakini nyinyi wabongo mna vijimambo.. mara eti covid19 sasa kwa kiswahili inaita 'uviko19' 😆😆. sasa neno 'uviko' ulitokea wapi tena na 'covid' yenyewe ni ugongwa geni sana sana, hata haija maliza miaka mbili.!
 
lakini nyinyi wabongo mna vijimambo.. mara eti covid19 sasa kwa kiswahili inaita 'uvuko19' [emoji38][emoji38]. sasa jina uviko ulitokea wapi tena na 'covid' yenyewe ni ugongwa geni sana sana, hata haija maliza miaka mbili.!
Tanzania ndio baba wa Kiswahili hapa Africa, ni jukumu letu kukikuza na kukieneza, kumbuka hata neno UKIMWI ndio tulianzisha.

Maana ya UVIKO ni
U - Ugonjwa wa
V- Virusi vya
KO - Korona
 
Kamwe Magu hakuichukia Kenya, tatizo lenu ni "Cry baby syndrome" na attitude ya kuhisi ninyi mko sawa wakati wote wakati wengine hawapo sahihi.
 
Magu hakuichukia Kenya, nyinyi (wengi wenu) ni watu selfish sana. Mnataka mfaidike kwa mgongo wa wengine.

Watanzania wengi na marais kabla ya Magu, walikuwa na zile fikra za ujirani mwema hata kama wao wanaumia. Magu akasema f$ck that, mbwai iwe mbwai.
 
Leo unamsifia JPM kwenye JNHPP wakati ulikua unasema ni white elephant sababu hatutakaa tuumalize huo umeme? Au ni ile shule niliokupa imekubadilisha kiasi hiki, sababu huwa nakupaga shule kisha unaingia mitini na elimu yangu bila kusema Asante! 🤭
 
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa? 😆
 
wapumbavu wanataka kushindana na Tanzania, huku wakunya wenzao wanakufa na njaa na wengine na wanaume wanaolewa ulaya kuganga njaa hahahaha
 
Siyo Magufuli tu hamna Mtanzania mwenye akili timamu yeyote atakayeweza kuipenda kunyaland
 
kama vile huyu mlevi alivowadanganya 🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Wacha upumbavu wewe, hapo hakukuwa na haja ya kuzungusha hiyo road ningekuwa na simu yng ile ningekuchorea hapo uone ujinga wako sema simu yng imeharibika, alafu kama kawaida yenu mkishindwa hoja mnakimbilia lugha ya waume zenu kama ndio kigezo cha ku win battle, misamiati ya std 1 umetumia hapo na hakuna point umeongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…