Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilombera ikijengwa hvo naenda bucha mimi
maxresdefault(72).jpg
w222206_20455_unity-bridgeponte-da-unidadeumoja-wa-daraja_picture-taken-during-november-2011.JPG

Vidaraja vya hivyo vipo hadi porini asee 👇 Kilombero bridge
Magufuli bridge.jpeg
maxresdefault(86).jpg
1(10).jpg
kale ka dwarf bridge ka Mombasa hakitii nyao hapa
 
tulichoexport kenya nina uhakika ni sehem kubwa mfanyabiashara mtanzania moja kwa moja amefaidika.. lkn wakenya walivyoexport Tanzania nina uhakika ni viwanda vya wazungu.. sio mkenya moja kwa moja
au re-export ya vitu kama spareparts!
 
Hivi waungwana, haya madege yetu yako wapi asee.? [emoji116] Kumbe tulikua na madege ya maana tu Ila viongozi wa hovyo sujui wali yanywa mchuzi [emoji23][emoji23], Ila hii midege ni midege ya kwendaView attachment 2116553View attachment 2116554View attachment 2116555View attachment 2116556View attachment 2116557View attachment 2116558View attachment 2116559
waliuwa shirika kizembe sana,watakuwa wameziuza kimya kimya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hapo watapanga tofali mzee acha kujitoa ufahamu hapa[emoji1787][emoji1787]
Mnajitia kujua oneni sasa, au unatala kusema zile ni pillars eee

NairobiWalker
Huyo siku hizi huwa sijishughulishi kumjibu. Yani ni moja ya wale jamaa you can't have a discourse with. Kuna mtu mnatofautiana maoni lakini unaona ana akili - huyu ni kama kubishana na mbuzi. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom