Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

in 2014 kia ilikua na 802k 🤣🤣👇👇
Kwani mwaka inasonga mbele ama inarudi nyuma? Mbona umekazana na data za miaka yako?🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niletee ushahidi nasubiria sasa hvi mm sijui unajua wewe
Unascreenshot na hata huelewi ni nini unascreenshot🤣🤣🤣 Ama sio wewe ndio uliscreenshot hii


1644610054478.png
 
Somehow Posta imesahaulika. Eneo lote hilo linahitaji facelift kidogo kupapendezesha.
That part itakuwa covered na brt phase 3 ijapokuwa ni kweli katikati ya mji pana kusuasua!!!na barabara zake ni fupi fupi sana labda kama wana-consider swala la maji taka kwa ukubwa ule wakati wa kuzijenga tena upya.
 
Mathematicians in the room ebu mtuambie debt to GDP imefika ngapi?😂

 
Back
Top Bottom