Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Huyo siku hizi huwa sijishughulishi kumjibu. Yani ni moja ya wale jamaa you can't have a discourse with. Kuna mtu mnatofautiana maoni lakini unaona ana akili - huyu ni kama kubishana na mbuzi. 🤣🤣

ndio vitu mnavyoambiwa, chuma ya Dom inakaa hivyo, muache ujuaji wa kifala 