Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi waungwana, haya madege yetu yako wapi asee.? 👇 Kumbe tulikua na madege ya maana tu Ila viongozi wa hovyo sujui wali yanywa mchuzi 😂😂, Ila hii midege ni midege ya kwendaView attachment 2116553View attachment 2116554View attachment 2116555View attachment 2116556View attachment 2116557View attachment 2116558View attachment 2116559
Kikwete ndo anaweza kutuambia hizi ndege alipeleka wapi,kama unakumbuka, JPM alisema kuna ndege ziliuzwa Kwa maadili,ndio hizi!
 
na hio ni 2016 mzee [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2116502
Hiki ndicho nilichokisema kwamba zile data ni za zamani ila mwanza ni kiboko aisee pale tu JNIA kuna ndege za atcl kama 5 per day zinaelekea Mwanza ikiwemo Airbus A220 inayoondoka kila siku alfajiri na huwa inajaa, hapo bado sijagusa precision air, ni hatari mzee achana na huyo mkunya mavi anayeangaika kupunguza data za Tz ili ajifurahishe.
 
Ss mbn unajiumbua, link yako hii hapa[emoji116][emoji116]
Screenshot_20220212-001321.jpg
 
🇹🇿🇹🇿🙏
Top 10 Safest Countries In Africa To Visit 2022

1. Mauritius🇲🇺 (28th Globally)

2. Ghana🇬🇭 (38)

3. Botswana🇧🇼 (41)

4. Gambia🇬🇲 (53)

5. Tanzania🇹🇿 (58)

6. Malawi🇲🇼 (59)

7. Namibia🇳🇦 (65)

8. eSwatini🇸🇿 (69)

8. Madagascar🇲🇬 (70)

10. Zambia🇿🇲 (71)

Source: Global Peace Index
 
haya tuje kwenye data ya kisumu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in 2020 ime handle 100,000 a year na source ni KAA kataa sasa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilijua lazima kingereza kikuchanganye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kahamia kwenye kingereza kama kawaida yao kushobokea mali za watu, umepewa facts jibu kwa facts wacha kushobokea mali za watu utaolewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mwaka inasonga mbele ama inarudi nyuma? Mbona umekazana na data za miaka yako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawa imeshaingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kahamia kwenye kingereza kama kawaida yao kushobokea mali za watu, umepewa facts jibu kwa facts wacha kushobokea mali za watu utaolewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona wamekutuma ujaribu kutetea Mwanza🤣🤣. For your information, Mwanza + Arusha = 1/2 Kisumu
 
Dawa imeshaingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawa gani? Kwamba Mwanza received 200k passengers in 2020 and KIA received 270k?🤣🤣
 
Hivi waungwana, haya madege yetu yako wapi asee.? [emoji116] Kumbe tulikua na madege ya maana tu Ila viongozi wa hovyo sujui wali yanywa mchuzi [emoji23][emoji23], Ila hii midege ni midege ya kwendaView attachment 2116553View attachment 2116554View attachment 2116555View attachment 2116556View attachment 2116557View attachment 2116558View attachment 2116559
Me naijua hiyo B737 ilikuwa inapiga kelele kama radi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom