Dar es salaam na hili halina ubishi
Simiti mingi ndo nn? Usituongelee kijaluo hapa.Hehehe.
Hio fishing village yenu sijui kwanini huwa mwaiita jiji.
The day you realize Dar and Tanzania in general is a very insignificant country in Africa is the day you roll up your sleeves.
Nairobi pekee hutumia simiti mingi kila mwaka kuliko Tanzania mzima, na unajaribu kubishana ati Dar ina magorofa zaidi.
Nairobi this nairobi that lol,ur dead weightHehehe.
Hio fishing village yenu sijui kwanini huwa mwaiita jiji.
The day you realize Dar and Tanzania in general is a very insignificant country in Africa is the day you roll up your sleeves.
Nairobi pekee hutumia simiti mingi kila mwaka kuliko Tanzania mzima, na unajaribu kubishana ati Dar ina magorofa zaidi.
Kibera is the Second Largest Slum in the Universe,Nairobi 10 per cent ndio ovyo....
Na flyover sio interchange wewe mbongo
Mji mchafu namna hii halafu watu wanatumia usafiri wa hivyo kama huu mtu anakuja kubwabwaja Maneno mob, bure kabisa.
Dogo umebaki pekeyako unapiga yowe. Thanks at least umeanza kuadmit kwenye kipengele cha Maghorofa. Hapo Nai imechapwa 10 nilMko mbele bila fact....
city si maghorofa pekee kaka...rudi shule please
Hahaha haha.Simiti mingi ndo nn? Usituongelee kijaluo hapa.
Nyie watu cement kwenu anasa, rangi na kunakshi majengo pia kwenu ni mwiko, umasikin unawatafuna sana, mnajengea mabat mabovu, simtanks, udongo, na mifuko.
Eti jiji lina minyumba ya udongo na minyumba ya mabati mabovu kibao, lol, zunguka dar nzima huwez kuta nyumba ya hvo, japo jiji halijapangika vzr baadhi ya maeneo ya makazi bt tunajua kutofautisha ujenz wa nyumba ya kuish binadam na ujenz wa mabanda ya mifugo sasa huko nairob huwez jua ni nyumba ya mtu au banda la nguruwe, poor u
Sent using Jamii Forums mobile app
So unabisha au unapinga????Hehehe.
Hio fishing village yenu sijui kwanini huwa mwaiita jiji.
The day you realize Dar and Tanzania in general is a very insignificant country in Africa is the day you roll up your sleeves.
Nairobi pekee hutumia simiti mingi kila mwaka kuliko Tanzania mzima, na unajaribu kubishana ati Dar ina magorofa zaidi.
Ha haa wakenya bwanaEl matador amevunja kabati![]()
![]()
![]()
Kwa ajili ya uchaguzi
ukipata bahati ya kulikagua hilo begi utakuta white paper tu na pen zilizoisha wino
kweli hana kitu ni mweupe sanaAchana nae huyo ameridhika kupanga chumba na sebure
hafu kuna villa mpya pale mikocheni maeneo ya tanesco
ujue hawa hawajui hata robo ya plan zilizoandaliwa na kutekelezwa kwa hapa dar......Dogo umebaki pekeyako unapiga yowe. Thanks at least umeanza kuadmit kwenye kipengele cha Maghorofa. Hapo Nai imechapwa 10 nil
Sasa tuhamie kwenye Usafiri wa Umma, Usafi wa Mji, Huduma za Jamii, Starehe n.k
Let's go boy..
While you and your fellow Kenyans gets a wonderful experience on Bug Bites, Thugs and Everlasting traffic jams, in your Dirty matatu, Here is where Dar is heading today.
The city must have a well organised public transport system ..
View attachment 560917View attachment 560918View attachment 560919View attachment 560920View attachment 560921
na tukiamua soon tunaingia kwenye forum zao kuwachangamsha.......maana hawa wakenya naona hawatujui wabongo vizuriSo unabisha au unapinga????
😀😀😀😀😀😀 nairobi hutumia cement kuliko tanzania nzima hahah umekula kweli😛😛
Kumbuka hii sio nairaland hii jamii forum
Jana nimepita pale JNIA,ujue hawa hawajui hata robo ya plan zilizoandaliwa na kutekelezwa kwa hapa dar......
wanafikra mgando sana hawa wakenya hawajui kama tumetoka wanapopafikiria na tunapaacha kabisa