Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Pole Mzee wa Iphone7 hayo maghorofa si kitu kwetu kuna mambo makubwa zaidi punde yakikamilika.....mbona mtajuta mpaka basi......yaani mtaisoma namba na herufi how T is better than K....Hongera serikali ya kikwete kwa kujenga TPA na pspf watu hapa wangekosa cha kupost
sent from iPhone 7
kwa bongo KE ni mwanamke so nyie waKENYA ni wachumba sana kwetu..
Tanzania ni MME wenu[emoji31] [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]